ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Basi kwann is iwe kwa watumishi wote wa umma, mume mstaafu akifa basi mke ape we 40% ya pension ya mumewe
Sasa anaongelea watu watatu tu mke wa rais,mke wa makamu wa rais na mke wa waziri mkuu,yani kama hujui waziri mkuu,Rais na makamu wa rais hawa hata wakitoka madarakani bado wanalipwa sawa na aliyekuwepo madarakani kwa mfano Waziri mkuu analipwa milioni 19 basi hata akistaafu bado salary ipo pale pale wanafanya wao ni kuachia ofisi tu hata akihama chama au akifa bado familia yake itapokea salary yake na marupurupu yote.Halafu hawa wake wa marais wana vi project sijui foundation za kumwaga.Hajizungumzii yeye ila hao wajao
Ujumbe kwa wale wasemao ohh wanawake wa kichaga wanapenda pesa hawatosheki Salma mbona kawazidi wanawake wa kichaga wakati sio mchaga..Waombeni samahaniKwanza mama Salma ndio Mwenyekiti wa umoja wa hao wake wa Maraisi wote wa africa anapilika na miradi yenye mpunga mrefu lakini hawatosheki aiseee.
Swala ni haki yake kulipwa si ni jasho lake kwani shida iko wapi ?Sasa anaongelea watu watatu tu mke wa rais,mke wa makamu wa rais na mke wa waziri mkuu,yani kama hujui waziri mkuu,Rais na makamu wa rais hawa hata wakitoka madarakani bado wanalipwa sawa na aliyekuwepo madarakani kwa mfano Waziri mkuu analipwa milioni 19 basi hata akistaafu bado salary ipo pale pale wanafanya wao ni kuachia ofisi tu hata akihama chama au akifa bado familia yake itapokea salary yake na marupurupu yote.Halafu hawa wake wa marais wana vi project sijui foundation za kumwaga.
Tunakuheshimu lakini akili yako ndogo.mno unaonaje ukiacha ku comment. Unaonyesha zaidi ujinga ulionao humu.kukusaidia nyamaza tuSwala ni haki yake kulipwa si ni jasho lake kwani shida iko wapi ?
Angalia status yake mwenyewe atleast angeonelea mishahara ya walimu au kupandishwa madaraja kama alivyo fanya mama Janeth angeeleweka kwakuwa wote ni waalimu by Professional mpaka mke wa Pm naye ni Mwl.Swala ni haki yake kulipwa si ni jasho lake kwani shida iko wapi ?
Sawa we mwenye akili kubwaTunakuheshimu lakini akili yako ndogo.mno unaonaje ukiacha ku comment. Unaonyesha zaidi ujinga ulionao humu.kukusaidia nyamaza tu
Hayo mbona amesha yaongeaAngalia status yake mwenyewe atleast angeonelea mishahara ya walimu au kupandishwa madaraja kama alivyo fanya mama Janeth angeeleweka kwakuwa wote ni waalimu by Professional mpaka mke wa Pm naye ni Mwl.
Labda jasho la mavi!ni jasho lake kwani shida iko wapi ?
Hawa wote uliowataja ambao ni wajane toka mama Maria Nyerere na wajukuu zake na pia mama Fatma Karume wote wanatumzwa kwa kodi zetu kwa mujibu wa sheria.JPm hayupo, mama Janet analipwaje? Kuna mke Dr omary juma, mke wa Rashid, abdul jumbe
Kama ni hivyo madai ya mama salama ni nini?Hawa wote uliowataja ambao ni wajane toka mama Maria Nyerere na wajukuu zake na pia mama Fatma Karume wote wanatumzwa kwa kodi zetu kwa mujibu wa sheria.
Pengine ameachika hivyo hafaidiki na pension ya aliyekuwa mumewe!Kama ni hivyo madai ya mama salama ni nini?
Hata kama hoja ni hiyo hakuna ulazima wa kutungiwa sheria maana sheria zipo na zinafahamika mfanyakazi akiacha kazi ni mafao gani anapata.Swala hapo kulipwa stahiki zake kama mwalimu mstaafu pale ambapo alistaafishwa kazi mbona simple tu
Wao wanataka sheria zao sio hizo za Umma na nahisi wanataka ziitwe Sheria za wake wa MaraisHata kama hoja ni hiyo hakuna ulazima wa kutungiwa sheria maana sheria zipo na zinafahamika mfanyakazi akiacha kazi ni mafao gani anapata.
Hapo ni swala la yeye tu kuwasiliana na mwajiri wake wa awali watajibizana huko kwa barua.
Sio maswala kujadili bungeni na kutungiwa sheria maana sheria tayari ipo.
Kosa alilofanya mzee kujifanya analipa fadhila kwa JKHii ndiyo shida aliyotuletea Magufuli kutujazia vilaza huko mjengoni
Fedha Za bunge Salma hazimtoshi hata kama kaachika ? Kuachwa na mwanaume wa Pwani kawaida tu sio kesi.Aweza kukuoa leo wiki ijayo akakubwaga akaoa mwinginePengine ameachika hivyo hafaidiki na pension ya aliyekuwa mumewe!