Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Una hakika haangaliwi leo kama mke wa Rais? Tuache kuwatukana watanzania. Anachotafuta ni kupata legal status ili impe milage!!! Nachojiuliza ni milage ya nini sasa? Tujifunze kula na kushiba. Binadamu wote wana midomo. Imagine wawe wanashinda njaa, halafu wachache ndio wanakula...kitatokea nini???
 
Itafikia hatua wataomba hadi wajukuu zao waandaliwe mazingira mazuri Babu zao wanapostaafu Urais
Kweli. ndiko tunakoelekea. Wala hakua na ulazima kugombea ubunge. Wkt kuna waTz wanakufa kw kkosa hela za matibabu, za elimu ya watt na wajukuu wao na wengine hawana chakula, tunao wawaklishi wanatmia muda wetu kjipgia madebe bngeni.
Wabunge wa ss hv, sjui wamekula mahrage ya wp?! "Bunge live" ya ss inatia kinyaa, kila anayesimama, ni masuala binafsi au nyimbo za mapambio... nk. Yaani wabunge woote hawa hata mmoja anayezngmzia Katiba Mpya hakuna ...dah!
 
Hii Nchi unaweza tamani ipinduliwe tu mkuu

Nature, asili ya Watanzania ni utulivu. Kuiamini serikali yao.

Ila hii serikali ya sasa inajaribu sana kuvunja kila uaminifu, uadilifu, imani ya Wananchi juu ya serikali yao kwa kuwatenganisha watu kikabila, kidini, kikanda, kwa mazingaombwe, kisera na kiitikadi.

Tatizo hawana sera, imani, wala itikadi. Hawataki sera za JPM wakati huohuo ni weupe hawana sera, maono, vision, itikadi zao. Itikadi yao ni kula kwa urefu wa kamba zako, tia saini mikataba ya hovyo, sifia kila uchafu,kopa iba, weka watoto wa washikaji,ndugu, kanda, dini yako.

Watafanikiwa , mwisho wa siku watapata wanachokitafuta, ni kuivuruga amani, mshikamano wa Taifa.
 
Kwanza pensheni za rais mstaafu zipo kikatiba 80% ya mshahara wake lakini hachangii kama wafanyakazi wote serikalini. Mfanyakazi gani analipiwa pensheni ya mkewe akistaafu?
Mfanyakazi gani analipiwa 80% ya mshahara wake akistaafu?
 
Kuna siku Rais mstaafu anaelipiwa pensheni 80% ya mshahara wake, halafu mwenye wake wanne atalipiwa pensheni za wake zake 4? Kama ni hivyo kitakacho fuata ni watoto wao pia watavuna bila kupanda!
 
Urais Tz ni kama ufalme!
 
Kuna siku Rais mstaafu anaelipiwa pensheni 80% ya mshahara wake, halafu mwenye wake wanne atalipiwa pensheni za wake zake 4? Kama ni hivyo kitakacho fuata ni watoto wao pia watavuna bila kupanda!
Of course, unaweza kuona mwelekeo wao, wanapoenda, wanavyofikiria, entitlement mentality.

Watoto wa wake wanne kama watakuwa kama ishirini hivi, wakioa wanne kila mmoja tutaambiwa serikali tuwatunze, wajukuu mia mbili tuwatunze. Kodi yote itaishia kuwatunza viongozi na kulipia madeni ya mikopo ya hovyo na riba zake.

Demokrasia au utawala wa kifalme? kikundi, genge dogo flani linalojiita watoto wa mjini kwa manufaa ya familia chache wameiteka nchi huku wengi wakipata msoto haswa hakuna wa kuwasikiliza au kuwasaidia.
 
Mama salama ana hojamani ya Msingi, mama Janet alikuwa mwalimu mama salma alikuwa mwalimu walistaafishwa kwa nguvu mafao yao inakuwaje?
 
Mama salama ana hojamani ya Msingi, mama Janet alikuwa mwalimu mama salma alikuwa mwalimu walistaafishwa kwa nguvu mafao yao inakuwaje?
Unasikia alichokiomba hapo mkuu?
 
Mkiwa na hiyo gesi yenu mtaiuza kwenye soko lenye kujitosheleza lililoko Kashozi ama Kanyigo ?!!! [emoji1787][emoji1787]
Tutaichomeka gesi mkunduni kwako ili upate nishati bora itakayosaidia kuwasha taa kwenye makalio yako!

Kwako Jumbe Brown.
 
Awamu ya kula kwa urefu wa kamba. Viazi vimejaaa sana shambani ngoja niendelee kula tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…