PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nenda ukagombee . Hakuna atakaye kuteka
Mwaka 2020 yule aliyetaka kugombea jimbo la Majaliwa alishikwa na kuwekwa gerezani, hukumbuki wewe chawa mkuu? Fungua makabrasha. Hata wakishindanishwa hawawezi kukubali debate ya kujieleza kwa ufanisi, kwani hawana uwezo, kwa hiyo ni kuteuana na rushwa tu. Weka open kila kitu kila mtu agombee na washindanishwe kwenye debate, kisiasa, kiuchumi na kijamii!!!!!!!!!!!!
 
Nenda ukagombee
 
Kufanya kazi unayofanya lazima nilipwe dau kubwa sana. Kila ra kheri chawa
 
Hii familia ndo mara ya kwanza first lady wa Rais anakua Mbunge Tanzania
 
Cha matamaa we mama. Mnapata pension kupitia Kodi zetu. Bado unahangaika kukaba wengine wasipate!! Kaa nyumbani ulee wajukuu. Tunajua pesa mnazo.
 
Huyu Mwalimu wangu wa shule ya msingi apumzike

Ova
 
Kuwatumikia watanzania wanyonge
Huna akili pumbavu.
Huyu kawa Mke wa rais, mpaka sasa anapokea mamilioni kama aliekua mke wa kiongozi na bado mme wake ambae ni rais mstahafu anatunzwa na kodi za wananchi kwa mamilioni ya fedha .

Mtoto wao ni waziri , ila mama mwenyewe ni Mbunge tena. Wewe upo huko hata watoto wako hujui wataishi vipi baada ya uchawa kukamilika

Unatetea upumbavu gani hapa, kama nisemacho ni uhongo nipeleke mahakani.

Hivi hupo na akili kweli mkuu
 
Na wewe omba mume wako aje awe Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…