Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

Baada kuona sukuma gang haina msaada kumpa uteuzi sasa bwana njaa kahamia msoga kaanza kumsifia salma kikwete akijua mzee akiiona atampigia upatu kwa rais.

Njaa mbaya sana, inadhalilisha, inaondoa utu, inakufanya kuwa mtumwa na inakushushia heshima.
 
FIRST LADY MSTAAFU MWENYE TAMAA YA UONGOZI/ULAFI WA MADARAKA.

MUMEO NI RAIS MSTAAFU ANALIPWA 80% YA MSHAHARA WA RAIS ILA WEWE BADO UNAKUWA NA TAMAA YA VIHELA VIDOGO VIDOGO!

SHAME!
Kila Mtz ana haki ya kuwa kiongozi kama atapata ridhaa ya wapiga kura.
 
Dah! Clip 10 kwenye uzi mmoja sio mchezo bando limelata hata sijafungua clip ya kwanza.
Bandiko ni la hoja 10, kuangalia video ni options tuu, kitu cha muhimu ni hoja zomekuwa mentioned kwa kuziandika
P
 
Baada kuona sukuma gang haina msaada kumpa uteuzi sasa bwana njaa kahamia msoga kaanza kumsifia salma kikwete akijua mzee akiiona atampigia upatu kwa rais.

Njaa mbaya sana, inadhalilisha, inaondoa utu, inakufanya kuwa mtumwa na inakushushia heshima.
Mkuu JembeKillo, hivi mtu akifanya vizuri, huwezi kumsifu na kum appreciate bila kuonekana chawa?!. Kila pongezi kwa yeyote ni kusaka uteuzi?.

Unaijua TSJ ilipokuwepo?!. Ilikuwa Ilala Shariff Shamba, jirani na ukumbi wa Amana, JK ni mwana Msondo Ngoma, enzi hizo ndipo tulipojua hata kabla hajawa waziri!.

Kwa taarifa yako, wakati JK anatangaza nia ile 2005, alikuja kutangazia Nkurumah Hall, UDSM, unajua ni kina wali facilitate?.

Kwa kuongezea wakati huo niko UD nikipiga LL.B na Riz1!.
Jee wajua miaka yote ya JK, kila akitimba UNGA, nami nilikuwa natimba UNGA?. Mimi ni mtu wa kumtafuta JK kupitia Salma?.
Acha hizo!.

Naendelea kusisitiza I'm my own boss, sijawahi kuhitaji uteuzi wa hisani hata mara moja!, sio kwa JK, sio kwa JPM na wala sasa kwa Samia!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

Msiwafanye watu wakashindwa kupongeza!.
P
 
Mkuu Bejamini Netanyahu , kwanza uwe na heshima, heshima kitu cha bure, huyu ni mke wa rais, ni Mhe. Mbunge, anahitaji promo yq nini?!.
Pili, tuko wote humu kwa zaidi ya miaka 8, mpaka leo bado tuu hatufahamiani vilivyo?!. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, nafanya kazi bure kwa kujitolea silipwi na mtu yeyote.
P
Una msifia kafanya nini cha maana? mume wake kaacha majanga matupu ungekuwa mtu serious ungeshauri mume wake akamatwe kwa kusababishia hasara taifa
 
.
Mjue Mhe. Salma Kikwete kwa karibu zaidi na kwa undani zaidi, Mhe. Salma Kikwete, kwanza ni mwanamke, ili sio mwanamke tuu kama mwanamke wa kawaida, bali ni mwanamke wa shoka haswa!, ni mke kwa mumewe, Dr. Jakaya Kikwete, ni mama wa familia yake, ni pia ni former 1st Lady na ni Mkurugenzi wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo Wama, na kwa sasa ni mwanasiasa na mbunge wa jimbo la Nchinga akiwa ni mmoja wa wanawake wachache wa shoka ambao ni majembe ya ukweli kwa kuwa mbunge wa jimbo.

Zijue hoja zake 10 alizozishusha kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Viongozi Wanawake wa Afrika ambao ni wake wa viongozi wakuu wa Afrika uliofanyika jijini Bujumbura Burundi hivi karibuni
Paskali.
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi Mkuu, natoa wito, wanawake wote wenye uwezo, jitokezeni kwa wingi kuonyesha uwezo wenu kwa kugombea, nawahakikishia, Watanzania tutawachagua!.

Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Back
Top Bottom