Mfumo siyo mbovu upo hivo ili watu wapate nafasi ya kula mzee unataka watu wafe njaa?Hii inathibitisha kuwa mfumo wa ukaguzi bandarini ni mbovu na hata uandaaji wa nyaraka na upitishaji mizigo mipaka ya nchi jirani ni questionable
Pumbavu kweli weweemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.
Kabisa mkuu,mama kibonge si wa kwanza na atokua wa mwisho kukwepa kodi,yote kutokana na misingi tuliyojiwekeaUkiona jambo kama hili limevuja jua kuwa watu wamechoma na mara nyingi shida huwa inaanza kwenye mgao wa pesa ya upigaji.
Unafikiri kuna akina mama bonge wangapi wanaopitisha mizigo kimagumashi hapo bandarini
Asante kwa taarifa hii chawa wa Nchemba
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.[emoji23]
Limama lina pesa sana hili kwa hapa dar sidhani kama B5 kwake zinaweza kuwa tatizo
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Yule mama ni koboko aisee...yule boss wa simba alitingishwa haswa...mwaka juz alinunua ghorofa tatu kkoo ndan ya mwez mmoja....afu akachukua mansion ya bil 8 osterby ...baada ya hapo akafunga maduka yake akaenda pumzika US mwez mzima....[emoji23][emoji23]
Aah kabisaa...shida ya officers wengi wa TRA hawajawah fanya biashara....Yule kesi hiyo ni ndogo itaisha tu
Biashara bila Umafia huwezi toboa kirahisi, lazima uwe na watu, na hao watu wakusaidie na wewe uwasaidieConnect Dots anaetaka kua supplier wa vitenge nchi nzima ni Boss wenu wa simba anaezaliwa singida anakotokea waziri wa fweza, yule jamaa anakiwanda na anazalisha bidhaa zisizo na kiwango kwahivo anawapiga figisu waingizaji vitenge wakubwa ili abakie peke yake tu, vitenge sawa na ngada tu zina figisu hatari