Maisha siyo wakati wa uchaguzi tu, au miaka mitano ya uongozi.hahaha, kama mnyika angekuwa nyoka hasingekubali mbowe ashindwe weee. Mnataka kuwakosanisha myika na mwenyekiti siyo.
Asante mwalimu. Umejikaanga mwenyewe bila Shaka.Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Hawa G.55 wasaini TU, waondoke. Mnaboa sana. DahhhMaisha siyo wakati wa uchaguzi tu, au miaka mitano ya uongozi.
Ni miongo mingi, waweza kuondoka kwenye uongozi ukarudi tena na tena.
(Mfano Putin wa Urusi).
Siyo ajabu team Mbowe ikarudi tena madarakani Chadema miaka ijayo.
Uongozi wa chadema unatakiwa uchanganye team wapate mseto wa kusonga mbele. Wajifunze CCM, waache mihemko. Uongozi ni pamoja na kuwa na uvumilivu kwa wanaotofautiana.
Wanaboa Sana.Hawa G.55 wasaini TU, waondoke. Mnaboa sana. Dahhh
SAWA ndugu. Usikubali kuunga Mkono maovu.Wanaboa Sana.
Mimi ni Mtanzania, mwanaCCM mwenye fikra huru na chanya.
Ndo tabia zao hawa chadema, ona hawa wamesusa chama halafu wanataka maridhiano!Hawana maana hawa
The former Naibu Katibu Mkuu of chademaWho is this Mwalimu?
Msihukumu msije kuhukumiwa ninyi na nafasi zenu. Maana hamsemi ukweli muujuao. Je,maridhiano ni kitu kibaya? Kama wanaogombana wakipatana Leo hata kesho ninyi mnaposema nyumbu mnapata hasara Gani? Maana Sisi Watanzania tunataka umoja na mshikamano na Amani.Ndo tabia zao hawa chadema, ona hawa wamesusa chama halafu wanataka maridhiano!
Wengine wamesusa uchaguzi wanataka maridhiano ili washiriki!
Nyumbu hovyo kabisa.
He is pretending to be someone!! But is nothing 🤔🤔🤔🤣🤣🤣Who is this Mwalimu?
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Takataka ni wewe unayeingiliwa kinyume cha maumbile,ndugu wa marehemu wamekuweza kweli wamekupiga kitu unatoa tigo yako kama unagawa njugu za kuonja dadeqWaunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka
Akafie mbali huko,hakuna maridhiano na wasaliti, kaongea juzi kajimaliza hana jipya tena,alishindwa hata kuweka akiba ya maneno.Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Upotoshaji.Maisha siyo wakati wa uchaguzi tu, au miaka mitano ya uongozi.
Ni miongo mingi, waweza kuondoka kwenye uongozi ukarudi tena na tena.
(Mfano Putin wa Urusi).
Siyo ajabu team Mbowe ikarudi tena madarakani Chadema miaka ijayo.
Uongozi wa chadema unatakiwa uchanganye team wapate mseto wa kusonga mbele. Wajifunze CCM, waache mihemko. Uongozi ni pamoja na kuwa na uvumilivu kwa wanaotofautiana.
Nyumbu mamako fala weweNdo tabia zao hawa chadema, ona hawa wamesusa chama halafu wanataka maridhiano!
Wengine wamesusa uchaguzi wanataka maridhiano ili washiriki!
Nyumbu hovyo kabisa.
Kwa mazingira ya sasa ni utaahira mkubwa sana kupoteza muda kupiga kura,hivi sasa kura imepoteza thamani yake kwa 100%. CCM watatangazwa kushinda kwa 99.9% sasa hata wewe mwanaccm unaenda kupiga kura ili iweje?Ukweli ni JF kuna asilimia 0.000025 ya watu wenye kitambulisho cha mpiga kura
Yaliyobaki yote ni makelele tu......
Hawa walitumwa kukaa chadema kama kitila mkumbo, ni aina hiyo ya wanachama.
Kimbilia ACT WAZALENDO,kabla dirisha halijafungwa!Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.