PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wengi wanakimbilia matusi wakati hata hawajasikiliza alichosema. Alikuwa anajibu swali na alichosema ndicho wanachosema kila siku. Kuwa kuna majeraha yaliyotokana na uchaguzi na hamna jitihada iliyofanyika kuyaponya. Badala yake, wamekuwa wakibezwa kila wanapo toa ushauri.

Katika hali kama hiyo, mtu yeyote anaejiheshimu atajitenga. Na mtu mwenye busara hatasema kuwa huo ni uamuzi wa mwisho maana sio uamuzi waliopenda kufikia. Kila mmoja wao anaongea kwa masikitiko maana bado wanakipenda chama chao cha zamani. Hiyo sio dhambi.

Amandla...
 
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa watu wanaingiza udini katika kumbeza. Pathetic creatures.

Amandla...
 
Anaogopa kuonekana kanunulika? Aridhiane na nani sasa ndani ya chama alichokikimbia? Si mwenye chama ni mhaini?
Hapana, Wazanzibar huwa na misimamo sana tofauti na Watanganyika. Ameona ni aibu kutangatanga. Akipewa kitengo anatulia
 
Salum we liked you but it will never be the same again
 
Daaa poleni tu Makamanda wote hofu siku nikisikia na Mnyika katoka kitakachofuata ni makao makuu ya Chedema kugeuzwa makao makuu ya chama B sioni kizuizi kwa ilo kutokea !!!

picha lileee CAF na ACT ndio ipo Chedema tuwe wapole kipindi ichi ya Mabadiliko ya jina la Chama.
 
Ktk mambo ya Siasa na kutukanana ayaendani apo ni chama ndio kinachafuka !!!!

chama na Wanachana lazima wawe wavumilivu ktk alakati za kujenga hoja za kukitetea chama !!!
chama akitetewi kwa matusi badala yake utetewa kwa hoja.. chama kinaitaji kiwavutue wachama wapya kwanjia ya hoja !!!

sio matusi asa kipindi ichi kwenye msuguano uliokivamia Chama !!!!

ni wakati wa umakini mkubwa wachokozi awawezi kukosekana !!

lkn namna ya kuwajibu ndio tatizo pengine wao pia utaka watukanwe ili Chama kidhidi kuonekana kwenye jamiii kuwa Chamaiki ni cha watu wasio wakomavu wavumilivu ukimbilia kutukana ,,,,,
 
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa watu wanaingiza udini katika kumbeza. Pathetic creatures.

Amandla...
hayo majeraha ni wao ndio wanayasikia. Timu lissu iliyoshinda haikuona kama kuna majeraha, timu mbowe ndio walipaswa kuvunja timu yao na kuungana na wenzao kujenga upya chama chao ila wao wakaendeleza upinzani ndani ya chama chao hatimaye wakaondoka na kuelekea kusikojulikana. Tena wameondoka kijeuri huku wakikikandia chama chao
 
Umenitukana, ukanipiga lakini bado unataka nije nikuombe msamaha! Hawa hawakuficha kutoridhika kwao kwa muelekeo wa CDM na namna wanavyotendewa na viongozi wao. Kuandikia chama sio dhambi maana ni namna inayo kubalika ya kuhakikisha kuwa ujumbe unaotoa unafika kunakotakiwa kama ulivyokusudia. Wanasema ulikuwa waraka wa siri lakini chama chao kikauvujisha.

Mimi naona kwa sababu wamesema kwa uwazi sababu zilizowafanya watoke CDM wangeachiwa tu waendelee na shughuli zao. Kuendelea kujibizana nao na kuwakashifu kunalipa uhai suala hili ambalo halina tija kwa CDM.

Amandla...
 
Yaan nyie mmshindwa kupona majeraha yenu wenyewe mnataka mponywe.

Hii ni kaui ya ovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…