We wa ajabu kweli maskini!!!. Mbona hujawahi kuwashangaa mtu anapopelekwa mahakamani halafu hakimu akatangaza kesi imeahirishwa mpaka tarehe fulani? Kwa nini sasa akapelekwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika?Na Kwa nini aseme kabla hajakamilisha uchunguzi? Huo ndio upumbavu!!
Mzalendo was kweli hawezi kukimbia,ila kwa mzalendo maslahi mbiooo.Lissu anawapoteza sana babadhi UA watanzania ,kampeni zikiisha Lissu anakimbia zake kwa mabeberu wake ,huyu hana pa kwenda eti naye kamwamini lissu kuwa mwaka huu lazima wachukue dola
CHADEMA wanapoteza muda wao kwa kuamini kuamini kuwa wanaweza itoa CCM madarakani,hizi ni ndoto za mchana kweupe,
Mkuu hao uelewa wao ni mdogo sana!Najua anaisema BoT.. BoT haigharamii kampeni za CCM.. Yenyewe inatoa pesa na kuzipeleka NEC ili NEC iweze kulipia gharama za kuandaa uchaguzi.... Mwalimu atakuwaje makamu wa Rais iwapo ana upeo mdogo namna hii wa kushndwa kuchambua mambo rahisi namna hii?
Umaajabu wangu unawapa akili wapumbavu kama huyo na wewe pia! Hapa Umeona kuna mtu kapelekwa mahakamani?We wa ajabu kweli maskini!!!. Mbona hujawahi kuwashangaa mtu anapopelekwa mahakamani halafu hakimu akatangaza kesi imeahirishwa mpaka tarehe fulani? Kwa nini sasa akapelekwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika?
Mwenye uelewa ajitokeze tafadhali na vigezo anavyo jinadi navyo.Mkuu hao uelewa wao ni mdogo sana!
Ni kawaida kwa akili ndogo kushindwa kuelewa hata maana ya mifano midogo tu kama hii!!Umaajabu wangu unawapa akili wapumbavu kama huyo na wewe pia! Hapa Umeona kuna mtu kapelekwa mahakamani?
Umeniita jina ninalostahili , ubarikiwe sanaTajiri, ndio maana wahenga walisema Mungu si Athumani. Yaani angetuachia mamlaka yake kwa dakika tu tungetandikana sana.
Hata hivyo yeye ni upendo na maandiko yanatuambia, “He is slow to anger....” Kwa kiswahili:
Mwenyezi Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili. Zaburi 103:8
Wewe ni Zombii la mtandaoni huna akili wala hujielewi ndio maana inatumika mitandaoni kwa malipo ya elfu saba.Huna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
Sio kulipwa tuu, wengine wanajitolea kama mfumo wa JKT walio ambiwa jitolee ukifika wakati wa ajira utakumbukwaUkisoma michango ya watu kwenye hii mada lazima uamini kuna watu wanalipwa ili tu kujibu ujinga.
Mabeberu wale waliomtafuna Gwajiboi kawe sioLissu anawapoteza sana babadhi UA watanzania ,kampeni zikiisha Lissu anakimbia zake kwa mabeberu wake ,huyu hana pa kwenda eti naye kamwamini lissu kuwa mwaka huu lazima wachukue dola
CHADEMA wanapoteza muda wao kwa kuamini kuamini kuwa wanaweza itoa CCM madarakani,hizi ni ndoto za mchana kweupe,
Hao kuwaelewesha ni taabu kweli, ni mizigo!Kasema wanakamilisha ushahidi.
Akina Nani uwe unafafanua tukuelewe.Yaani hawa jamaa 'zangu' sijui kama wanajua wako kwenye kampeini...ya kunadi sera zao ili wananchi wawaelewe!
Yaani wanageuza kampeni kuwa mikusanyiko ya kiharakati....! ukweli wataabika sana mwishoni mwa Octoba 2020.
Wamekuwa takukuru ghafla!Huna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
Jingalooooo kabisaAlikuwa ana haraka gani ya KUROPOKA kabla hajamaliza kukusanya ushahidi? Kwani angesubiri hadi akapata ushahidi wote ndio aseme angepukiwa nini? Pumbavu!
Ni kawaida kwa akili ndogo kushindwa kuelewa hata maana ya mifano midogo tu kama hii!!
Hawa si wasomi,bali ni waliopita shule.Yaani inasikitisha! Tena, utakuta ni wasomi kabisa!
Amina. Sikuiti tena mtarajiwa maana inaonekana uko maji yalizidi unga.Umeniita jina ninalostahili , ubarikiwe sana