Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
We wa ajabu kweli maskini!!!. Mbona hujawahi kuwashangaa mtu anapopelekwa mahakamani halafu hakimu akatangaza kesi imeahirishwa mpaka tarehe fulani? Kwa nini sasa akapelekwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika?Na Kwa nini aseme kabla hajakamilisha uchunguzi? Huo ndio upumbavu!!