Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.View attachment 1811801
Bashite unaogopa nini, si mwamba wewe, unajitetea kupita maelezo siku zako zinahesabika😂Serikali haifanyi kazi kwa kuagizwa na chadema
Anayeshutumiwa ni 'Intarahamwe' sana.kwanini mnachokifikiria nyinyi mnataka kiwe ndio hicho hicho?
Huyo dogo Anna Siri nyingi mno za wachafu wote wakubwa ndani ya nchi Hii...hawezi kukamatwaNi ile ile!
Waseme tu huenda wanahofia Mwendazeke kuwa implicated kwenye kesi za Bashite and nothing else.
Mbio za Mama ni za sakafuni tu, soon atakuwa mpole unless awe tayari vigogo wengi kuwajibika kitu ambacho kamwe hatoweza.
Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
You're so petty sometimes. Nani anayemhusisha Diamond na Makonda kama si nyie wazushi!Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
Wewe ni MUNGU?Hata wakilindwa but karma lzm izae nao tu.
Alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho hana nuru tena amejaa hatia ya machozi na damu za watu zitatafuna hadi uzao wake
Ilichaguliwa na wanaCCM.Hiyo serikali nani aliichagua?
Haya ilichaguliwa na chadema sawa.Hiyo serikali nani aliichagua?
Ni ile ile!
Waseme tu huenda wanahofia Mwendazeke kuwa implicated kwenye kesi za Bashite and nothing else.
Mbio za Mama ni za sakafuni tu, soon atakuwa mpole unless awe tayari vigogo wengi kuwajibika kitu ambacho kamwe hatoweza.
Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
Serikali makini haiwezi kujivua nguo kiasi hiki.
Hata huyo Sabaya mwisho wa siku mnaweza kusikia DPP anamfutia hizo kesi.
This boss of PCCB is so smart. He is fooling this imbecile so that he (imbecile) can be investigated and cornered appropriately.
Hiyo serikali nani aliichagua?
nlidhan na wewe uko kwenye network ya bwana yule, saaahv taarifa za ndan zmekaukaNilisema hapa mnauziwa matango pori na Kigogo, Makonda ana network ndefu.
Hapa ndipo Takukuru watajivunjia heshima endapo wameanza kumtetea Bashite Paul makonda ambaye ni mtu muovu kupata kutokea Nchini TanzaniaMkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.
Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.
View attachment 1811801
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.
Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.
View attachment 1811801
Mkurugenzi wa Bandari alikamatwa na pesa nyingi lakini akawagawia kesho yake boss wa Takukuru akaenda hewani kukanusha kuwa hakushikwa na pesa matokeo yake atatumbuliwa sasa yupo tu anasoma magazeti, huu utetezi dhidi ya Bashite makonda ni utetezi haramu na wa kishetani na hii ya kumtetea Bashite itakuja kuwafanyia watu waombe kufanya maandamano ya amaniNilisema hapa mnauziwa matango pori na Kigogo, Makonda ana network ndefu.
We ndo jinga kweli yani,Yani diamond aingie kwenye huo upuuzi.Ni ile ile!
Waseme tu huenda wanahofia Mwendazeke kuwa implicated kwenye kesi za Bashite and nothing else.
Mbio za Mama ni za sakafuni tu, soon atakuwa mpole unless awe tayari vigogo wengi kuwajibika kitu ambacho kamwe hatoweza.
Na pia inawezekana lengo hapa ni kumuokoa Diamond katika kipindi hiki cha tuzo za BET kwani anahusishwa na Makonda.
Utabaki kulia lia tuNi ile ile!

Pumbavvvv eti kumuokoa Diamond.Ni ile ile!