Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.
Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.View attachment 1811801
Anaweza kuwa amekanusha kweli ila hayo maneno hapo hawezi kuwa kayasema. Hawezi nakataa!