Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.

Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.

View attachment 1811801
Wewe utapigwa mtungo huyo wanamuweka kwenye kirengeo tu
 
huyu mbona anatoka ushahidi dhaifu sana unaoletwa kwake eti kabaka wanawake 40 mbona lemaanakesi ya kubaka pia
Hizo kesi sita zenye ushahidi anazichomokaje sasa labda atoke kwa kubebwa.
 
wewe utakuwa teja ndiyo maana huoni walivyopungua basi sibishani na machizi kama wewe endelea kubishana na chadema wenzio
Nawe endelea kuwatetea vibaka wenzio waliodhani mungu wao waliyemtegemea angeishi milele asante corona.
 
Na mimi sina nia wala mpango wa kurudi Dar baada ya kukoswakoswa na Bashite😂
 
siyo hojadhaifu mtu akifanyamema lazima mumpe sifa zake kila siku mmepandikiziwa na kina lema walioolewa ulaya kuwa makonda mtekaji sijui kafanya hivi ujinga mtupu hivi mtu na akili zako unaweza kumsikilizamtu kama lema kakimbilia kuolewa halafu akupemawazo eti makonda mbaya?
Hahaha anabanduliwa yeye na mke wake
 
Ebu tupia zile video au link za kuoneasha sabaya kawabaka wanawake 40 na kuwakata watu masikio
Kubakwa sio tendo la kujiandaa.
Vipi zile alizoingia dukani akipora na kupiga watu, akiingia hotelini usiku na bunduki za kivita vipi hizi ni za kutengeneza hapa anachomokaje kwa mfano.
We ukuona siku ya msiba wa mungu wake alilia zaidi ya mjane akililia hirizi yake imekwenda na maji.
Shetani hana fadhila
 

Attachments

  • VID-20210604-WA0034.mp4
    1.7 MB
Kubakwa sio tendo la kujiandaa.
Vipi zile alizoingia dukani akipora na kupiga watu, akiingia hotelini usiku na bunduki za kivita vipi hizi ni za kutengeneza hapa anachomokaje kwa mfano.
We ukuona siku ya msiba wa mungu wake alilia zaidi ya mjane akililia hirizi yake imekwenda na maji.
Shetani hana fadhila
kama wewe hukuwa na huzuniwacha tulie sisi tuliyekuwa tunampenda wewekamlilieshoga yenu anaye gawa huko ubergiji
 
mtabaki kusema hivyohivyo na mtamkumbuka bado kitambo kidogo tu mnafikiri aliyokuwa anaifanyia nchi ylikuwa kwa faida yake yeye?muda utaongea na mtamlilia maana sasa mnacheka
Mbona mmetupa sasa,alivyo mwepesi atakutajeni nyoote na mliyoyafanya kumtukuza shetani
 
Mbona mmetupa sasa,alivyo mwepesi atakutajeni nyoote na mliyoyafanya kumtukuza shetani
sasa hivi mnamuona shetani angalieni aliyoyafanya kwa muda mfupi halafu piteni kimya hamna haja ya kuropoka kama mmeingiziwa vidole huko nyuma
 
Back
Top Bottom