comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
CHADEMA mmesikia? Utawala wa sheria katika ubora wakeMkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda..