Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Hiyo Lexus ilikuwa mali ya Ally Hemed mmiliki wa kampuni ya Nas Haulies!alimnyang'anya na baada ya Ally kugoma kumpa kadi akampa kesi ya madawa na kumuweka kituoni. Baada ya mwanae aitwaye Bahman kupeleka kadi ndio akaachiwa!Namba halisi ya hiyo Lexus ni T500 DAR na Benz T666
Wewe ni mke wa Ally Hemed?
 
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.

Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa kweli kwa nchi yake.

Paul Makonda ndiye aliyewataja wauza madawa ya kulevya na kusababisha madawa hayo pamoja na mateja mtaani kuisha kabisa.

View attachment 1811801
Makonda, kama kweli unawataja wauza unga hapa mjini kina Diamond na kina Salim Sk mbona bado wako mitaani tu wanadunda?
 
Makonda, kama kweli unawataja wauza unga hapa mjini kina Diamond na kina Salim Sk mbona bado wako mitaani tu wanadunda?
Makonda aliwataja mapapa wa unga ndiyo maana unga ukaisha kabisa mtaani.
 
Nilisema hapa mnauziwa matango pori na Kigogo, Makonda ana network ndefu.
Muda utasema
IMG-20210608-WA0049.jpg
 
Hawa wanaomtetea huyo muuaji ni wanufaika wa utawala wa dikteta aliyefariki kwani hata Hitler alikuwa na wapambe wake waliokuwa tayari kufa naye.
 
Mengine umeongezea wapi kasema hawana nia.Huyu anakosekana vipi kwenye tuhuma yeyeto.
Mwizi aliyeiibia serikali kupata ajira kwa vyeti feki
Kaibia vyeti lakin kazi yake n zaid ya wenye vyeti hao wenye vyeti vyao wamefanya nni
 
Wale waliondolewa kwa shida ya vyeti hawakuwa watendaji.Kipi cha maana kafanya zaidi ya kucheza na camera kukuadaeni nyie wanyonge
Nafsi yako itakusuta sana mpaka kufa kwako
 
Takukuru, huyu makonda ana mikono michafu inayonuka ile 'kitu ya uzima wa milele'.
Ni mtu ambae ameumiza wengi kwa kisingizio cha madawa ya kulevya au Bereau de change.
Amenyanyasa wengi na kuwaonea watu wasio na hatia, asulubiwe asulubiwe!
 
Back
Top Bottom