Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

Wakati ukifika atakamatwa. Unadhani mama akiamua mmkamate mtakuja na hizi ngonjera au mnamzuga ili asitorokee kwao Burundi?
 
Kwanza kabisa sijamtetea Bashite, jua kusoma kwa ufahamu. Acha ungumbaru.

Nakwambia tu kwamba the established fact ni kwamba Bashite hakukamatwa.

Sasa unaweza kubisha, ni uhuru wako. Kama unavyoweza kubisha na kusema the earth is flat.

Pili, thibitisha Mkurugenzi wa Bandari alikamatwa na pesa nyingi akawagawia TAKUKURU pesa.

Tuhuma nzito sana hizi kuzitoa kijumlajumla tu.

Tatizo mnataka sana mambo fulani yatokee, mpaka mkidanganywa na Kigogo hamuhakiki habari, mnafurahia tu hata kama mnadanganywa, kwa sababu ndigo mliyotaka yatokee.
 
Mwanamke ni mwanamke, she is going to do nothing substantial to this nation! CCM ni wale wale tu, muulize uchunguzi w BOT wa Jan March umeishia wapi? Sana sana she will opt kuteka watu ili kuwanyamazisha... atafanya yale yakle ya Jiwe...kuteka, kuua , kupoteza, kubambikia kesi etc etc.
 
watu wengine hamnaga kazi za kufanya halafu mnalalamika hakuna hela badara ya kutafuta kazi mfanye mnakaa kumzungumzia makonda na diamond wenzenu washatusua maisha mnahangaika kuwashusha badara ya kuhangaika nanyie kupanda si ni uendawazimu wenu huo?fanyeni kazi
 
Hoja dhaifu sana hii!
 
Ukijiita boya utakuwa vipi na akili labda kama wwe ni house boy wake kumtetea muuaji huyo.
 
Ukijiita boya utakuwa vipi na akili labda kama wwe ni house boy wake kumtetea muuaji huyo.
kwataarifa yako wewe hujui kitu ni kama debe tupu makonda ni mtu jasiri sana kuwahi kutokeakatika vijana hapa bongo aliyoyafanya dar siyo yakubeza kinyangalika kama wewe huwezi kumuingia hata robo hayo mnayomfikiiraga wala hajawahi kuyafanya ni chuki zenu tu na mtabaki na chuki zenu tu
 
Zaidi ya kiki kuwahadaa wanyonge nipe moja alilofanya likafanikiwa
 
Serikali inamuogopa Makonda
imuogope kwa lipi ?makonda hana skendo mnazozifikiria mmeishiwa sera na anayewaponzanichadema chama ambacho kila siku ni kupandikiza chukitu kwa watanzania halafu anaomba dola kutawala labda wakatawale inzi chooni
 
hapa nakupinga. huyu hatotumia method za jiwe sijui kuteka na kuua watu. she wants her record to be clean.
Maybe she is not aggressive kwenye mambo fulani. but she is not jiwe
 
Hoja dhaifu sana hii!
siyo hojadhaifu mtu akifanyamema lazima mumpe sifa zake kila siku mmepandikiziwa na kina lema walioolewa ulaya kuwa makonda mtekaji sijui kafanya hivi ujinga mtupu hivi mtu na akili zako unaweza kumsikilizamtu kama lema kakimbilia kuolewa halafu akupemawazo eti makonda mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…