Samahani, huyu Mtu ni nani?

Samahani, huyu Mtu ni nani?

Status
Not open for further replies.
Ana jina lake anaitwa DLAMIN aka king of squart ni gym trainer mzuri saaana,yawezekana ni bora kabisa Afrika,anatumia nyimbo haswa za tamaduni za kisouth huko,ni mzalendo sana huyo bwana, hata mi nilijuaga bwabwa ila kumbe sio japo sijachimba sana historia yake
 
Kuna wa hovyo kuzidi wewe unayetetea mwanaume kuwa na tako kama shoga? Ndiyo maana tumetaka tuone na tako lako
Tako haimaanishi ushoga mkuu.
Unaweza usiwe na tako na ukawa shoga.
So tusiwe na mitizamo hasi.
Yawezekana kaamua kujitengeneza kuonesha kwa mfano.
Japo mm siwez fanya hivyo. Ila kama kafanya hvyo kuhamasisha wateja wake na wamemwelewa na anapata rizki yake halali ambayo haina laana toka kwa Mwenyezi Mungu na afanye na liwe kubwa zaidi ya hapo

Kilamtu afanye yalio yake apate rizki halali maana hata maneno yetu hayampi kula.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom