Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Sijamaanisha hivyoo!! Haupaswii kuwa na mashauzi kibao kama ya Demiss wakati mtu mwenyewe sura kama kitako cha sufuria liliopikiwa kwenye kuni, [emoji1664][emoji1664]
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh kuna nn humu Jf? Mbona mm sikuona hiyo picha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

MKUU hapa ndipo ulipokosea kwenye utunzi wako!
Mtu atoke MWANZA kwa basi tena la ZUBERI afike DAR saa TATU USIKU!!?
 
Mara ooh vijana mnatuharibia jeiefu.Kumbe kikulacho kinguoni
 
Huyo tunamwiita baharia ni hilo jina ni miongoni mwa jina la vyeo kwa sisi wanaume
 
Ukiangalia ule uzi wa cute love walikuwa wanamponda jamaa na wanawake wenzake wanamsifu okay sawa hilo halina shida


Huku ni tofauti ile mijamaa na midevu yao na manywele kweny mapumbu inaanza kumponda jamaa ikishirikiana na wadada humu...nadhani watakuwa wanatafuta point 3 na huruma za wadada . ....lkni sio gurentee watakubalika [emoji23] ndo maana napenda pombe sipendi binadamu wamejaa unafki

Kama umeamua kukemea kemea kwa wote?

Mfano kama komment za joanah ye ajapendezwa na hizi purukushan zinazoendelea na hapendelei ushabiki kama ukifuatilia nyuzi zote mbili ushabiki unatuletea matabaka tu


 
Aisee mimesoma comments zako kwenye huu Uzi wanawake wamekukosea nn? Ina maana wote ulokutana nao ni wabovu kama unavyodai? Mkuu kwa ulichoandika huku hakikikisha na wewe sio mbovu maana hao ulokutana nao kuna siku wataleta picha yako huku mkuu. Ni kushauri tu mdogo wangu vingine unatunza moyoni, hata kama vinakukera unanyamaza. Yaan unakutana na demu ati unanawa USO kisa sura yake?? Mmmh bila shaka unatania aisee
 
NB: hakuna mwanaume mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…