Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Nihonge tu kapicha kako huko PM.
 
Kama mmoja wapo wa wachangiaji wa huu uzi waliotoa comments zisizo wafurahisha wengi hasa wanawake, naomba nichukue nafasi hii kuwaomba radhi wale wote niliowaumiza kihisia kwa maandishi yangu.

Kwanza maneno maneno mengi niliyoandika hapa sio ya kweli hata kidogo!

Si kweli kuwa wadada wa JF ni wabaya, wengi kwanza siwajui, tangu nimejiunga JF wanachama wa kike humu niliowahi kukutana nao live hawazidi 5! Na karibu wote ni wazuri tu yaani ule uzuri wa kawaida.

Naombeni mfahamu sina chuki na jinsia yoyote na msichukulie serious hata kidogo maneno yangu mtajipa unnecessary headache Bure! Sometimes tunajikuta tunaandika tu kunayoandikaga kutokana na tunayopitia.

Narudia tena yeyote niliyemkwaza naomba asemehe @Rebecca83, Unforgetable, Dinazarde, luckyline na wengineo ulioumia kihisia.

Na hili kuonesha kuwa nina maanisha ninachokisema nimefuta comments zangu zoote nilizochangia uzi huu.

Peace out ladies [emoji3577][emoji3577]
 
Nasikia harufu ya wizi hapa,Nahisi huyu atakuwa mtu mmoja mwenye ID zaid ya mbili na anafanya kutuaminisha kuwa Cute Love ni demu ili tuzame PM kwake halafu tupigwe za uso,Wew Cute Love tushakujua ni mzee baba,Na kama ni demu basi anataka kufanya biashara humu.
 

Na huu unaitwa Uungwanaa
 
For The First Time In Forever!![emoji23][emoji23]

CC Saint anne Atoto cute b Khantwe[emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana kwa unayopitia mkuu!
Ukiumia usimuumize mwenzako, unaweza kumtumia mwenzako kupata amani uloipoteza!

Binadamu tunakosea, tuna mapungufu pia na huwa tunajifunza kutokana na hao hao binadamu!

Nakupongeza kwa kuona ulikosea japo sijasoma comments zako, ila kitendo cha kuomba radhi ni ukomavu mnoo!!!

Hongera sana!
 
members wote wa jf ninachukua fursa hii kuwaomba radhi na msamaha kwa kitendo cha nyinyi kuuziwa na post yangu niliyoipost ikielezea undani wa tukio zima kati yangu mimi na Dada mmoja kutoka Mwanza.


Post hiyo imepelekea mambo mengi yameibuka ikiwepo matusi kutoka kwa wachangiaji, na kikubwa zaidi post yangu hiyo imepelekea kuibuka UZI uliopewa jina la "MAHAKAMA YA HAKI" ulioanzishwa na MSHANA JR.

Kwa niaba ya dada huyo, nimejitokeza hadharani bila kushinikizwa wala kulazimishwa na mtu yoyote kuwaomba radhi wana jf nzima kwa tukio zima lililojitokeza mbele yenu lililosababishwa na post yangu.

Sambamba na radhi yangu hiyo mbele yenu nilikuwa naomba mniruhusu ni screenshot conversations moja katika PM yangu ili mstaajabu wenyewe kuhusu mambo ya dunia ila kama msipo niruhusu sintofanya hivyo.

Mahakama ya haki iliyoanzishwa na MSHANA JR imeplay part kwa 37% juu ya msamaha wangu huu.

Tunakili wazi tulitumia emotions and not mind kufanya haya yalitokea. Together we say very sorry.

Ni hayo tu ndugu zangu ila kama mtaniruhu kuscreenshoot nitafanya hivyo ila kama hamtaniruhusu sintofanya hivyo.

Kwa uzuni kubwa nawatakia siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…