Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Zamani jf haikuwahi kufanana kama hivi. Pamoja na kwamba tulitafunana sana, na haya pia mitongozo ilikuwa haikauki kwenye PM zao...
Kwanza Yale mambo ya siri ndo maana kuna Pm kuliwa au kula si sifa etiii...watu wengine hovyooo sana
 
Hahaaa, atamtoa nini...., atolewe tu siyo Kwa kumuachia elfu saba mia nane mtoto Wa mwanaume mwenziee[emoji3] [emoji3] mambo std 7 mwenzangu!
 
Kwa hiyo ulivyomtumia tu ukambwaga
Mimi baaada ya pale nilimwendea inbox nikachat naye.....

Ila
 
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.



 
Ungamo !
 
Ameshafuta comments zake zote alizomimina mapovu, ila aliandika kuwa amekutana na wanawake karibu 48 wa humu JF na wote ni wabaya hawatazamiki mara mbili yaani aliandika comments karibu tano zote za kusema jinsi gani wanawake wengi wa JF walivyo wabovu.
Wait, huyu ndugu yako alichafua hali ya hewa? Sijaingia humu hata sijajua nini kinaendlea. Hebu nipe angalau kasamari naona tu Lizarazu anamwaga ombi la msamaha[emoji136][emoji136]
 
Mm nlipanda DAR LUX, tulitoka NYEGEZI saa 11.50 Alfajir tukaingia SHEKILANGO saa 7.45 usiku!
Huo ndo uhalisia. Hakuna bus lolote linalotoka mwanza na kuingia Dar saa tatu usiku.
 
Loh, basi ni muongo. Mi nawafaham km watano na wote ni visu.
Waliopo mitaani ndio hao hao tupo jf, nikianza na mie mwenyewe najijua kbs nina ka sura ka mvuto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…