Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

Huwa tunajua Sana tu
 
Mercy kwani umeshaolewa?
 
Ufeki usifeki mi nishapiga magoli yangu kadhaa safiii.On a serious note, ni bora useme ukweli unaoumiza kuliko kusema uongo unaoleta faraja feki.
Wanaofeki orgasm ni "visungura tope". Mke akianza kufeki orgasm basi ujue hapo kuna walakini usio kifani.
 
Nakubaliana nawe
 
Sasa kama mke wako kabisa anadanganya kuwa ame-cum wakati sio kweli, nitamsaidia vipi?

Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kuishi fake, be real!
Wanawake wengi wana-fake lakin hawafiki popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…