Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa tunajua Sana tuHabari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye mlima tapandia njiani sio mkuuMfano mimi siwez kuzingatia sana ww ufike usifike hiyo ni juu yako tu km mim nimerizika tu inatosha.
ni kweli inabidi amwambie ili mzee abadalishe mbinu na labda mbinu umeshazizoea taanza hapa anaishia paleWewe kuna vingi utakuwa unadanganya si ajabu hata hela huwa unamwibia!!? Kwanini usiwe muwazi tu!
karibu sana umeshapata jibu?Ha ha haaa,nashukuru kwa kunifanya nisikuelewe
ila inabidi umwambie kuwa ungefurahi na wewe ufike sehemu fulani lakini pia utakuwa una mpa presha mnoo kabla ya mechiHa ha haaa,nashukuru kwa kunifanya nisikuelewe
Macho hayo taratibuLol[emoji15][emoji15][emoji15]
Macho hayo taratibu
Habari za masiku?
Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu.
Ni hivi,kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana,lakini inatokea mwenzangu anataka,sawa ili nisipelekwe kwa baroz nyumba kumi kuwa namnyima unyumba mwenzangu naamua kukubali kusex.Sasa shida inakuja kwenye kufika kileleni inabidi nipretend nimefika kwa namna yoyote ili nawe umalize tu uinuke niwe huru from mbanano.
Swali langu ni hili,hivi huwa mnagundua kwamba hatukufika Kibo na Mawenz ila tumepretend kwamba tumefika?
Mazongela huwa hayaelewiKumbe mnaelewa kwamba hapa nazugiwa tu
👍Mazongela huwa hayaelewi
Nakubaliana naweUfeki usifeki mi nishapiga magoli yangu kadhaa safiii.On a serious note, ni bora useme ukweli unaoumiza kuliko kusema uongo unaoleta faraja feki.
Wanaofeki orgasm ni "visungura tope". Mke akianza kufeki orgasm basi ujue hapo kuna walakini usio kifani.
Wanawake wengi wana-fake lakin hawafiki popote.Sasa kama mke wako kabisa anadanganya kuwa ame-cum wakati sio kweli, nitamsaidia vipi?
Hakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kuishi fake, be real!