Hizo Ng'ombe na mbuzi zilitoka wapi? Hizi bahari na Maziwa zilikua hazitoi Samaki, kwamba walikua hawatumii samaki? Huo ugali na wali vilitoka wapi?Babu zetu wa kipindi gani? Babu zetu waliokuwa wawindaji na wala matunda ya porini?
Wrong totally wrong.Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Hii imewahi kunitokea mkoa wa Mara wilaya ya Bunda, nilienda sehemu wanachoma nyama nikaagiza nyama nikashangaa njemba inakuja na ugali kwenye kijimfuko ugali una rangi sijui kahawia ile sijui nyekundu hata sikumbuki vizuri.kuna sehemu nilitaka kununuA nyama choma peke yake, nikaambiwa lazima ninunue na ugali
Hiyo kwa mtzed wa kawaida kuipata daily ngumuInaitwa Olympic breakfast inakuwa na mchanganyiko wa
- Soseji
- Mayai mawili ya kukaanga
- Uyoga
- Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips
- Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi
- Maharage yasiyokaangwa
- steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana
- Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
sasa mura sisi huku tarime tunagonga kichuri kwa ugali wa muhogo/mtamaInaitwa Olympic breakfast inakuwa na mchanganyiko wa
- Soseji
- Mayai mawili ya kukaanga
- Uyoga
- Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips
- Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi
- Maharage yasiyokaangwa
- steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana
- Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
Unataka watu wakufe?Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k
Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao ni ugali, wali, ndizi, viazi n.k inakuwa nyongeza tu, ina maana hata usipokula wanga utalipa bei ile ile tu ya nyama, kuku au samaki. Kama wewe sio mla nyama bei itabadilika.
Sasa kwa mama ntilie inakuwa kinyume chake, chakula kikuu ni wanga ambao ni ugali, wali, ndizi n.k halafu nyama, kuku, samaki inakuwa kama nyongeza tu. Halafu huwezi kusema unataka kula nyama, kuku au samaki tu, ukitaka hivyo huwezi kuuziwa chakula na inaweza kuzua hata ugomvi!
Na nyumba nyingi za Watanzania ulaji ni kama huo wa mama ntilie, hii inaweza kumaanisha uduni wa maisha japo tunajigamba kuwa na chakula kingi.
Tunashiba makapi mkuu, ukweli mchungu huo. Inawezekana 80% ya chakula tinachokula kinaishia chooni as hakina nutrients muhimu kwa miili yetu, ndio maana kuna watu wanaenda chooni hata mara tatu kwa siku.Lakini si tunashiba
Mkuu ukila vizuri ndio unaenda chooni mara nyingi, ulaji mbaya wa kufakamia wanga kama ugali, wali na chapati kwa wingi huku inayoitwa mboga ikiwa kidogo ndio huwafanya watu waende chooni mara chache sana au hata kupata constipation kabisa.Tunashiba makapi mkuu, ukweli mchungu huo. Inawezekana 80% ya chakula tinachokula kinaishia chooni as hakina nutrients muhimu kwa miili yetu, ndio maana kuna watu wanaenda chooni hata mara tatu kwa siku.
Viporo vinapunguza gharama sana, wali maharage ya jana inapashwa watoto wanakula, badala ya kununua mikate sijui maandazi..hayo ndio maisha ya mtanzania wa kawaidaHiyo kwa mtzed wa kawaida kuipata daily ngumu
Halafu Kuna wale wa kula viporo washibe ndi ndi ndi
Hawa hawataiweza hii
Yeye bado ni mnyama tu.Asili ipi? Binadamu amekuwa hunter-gatherer kwa mamilioni ya miaka.
ALAAA!Alaaaaa alaaaaaa alaaaaa
Hii ndio breakast sasa, hizo nyingine ni chai tu.Inaitwa Olympic breakfast inakuwa na mchanganyiko wa
- Soseji
- Mayai mawili ya kukaanga
- Uyoga
- Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips
- Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi
- Maharage yasiyokaangwa
- steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana
- Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
Mama ntilie atakwambia nyama ikiisha ugali wake utabaki, hivyo anauza vyote.Kuna mahali nilinunua wali nyama nikataka kuongeza nyama tu lakini nilipie bei ya wali nyama muhudumu alitatanika sana akawa kama hanielewei kabisa.
Hiyo njemba maisha yake yote inajua ugali ndio chakula, nyama ni mboga tu. Wewe kutaka nyama bila ugali ilikuwa kama surpriseHii imewahi kunitokea mkoa wa Mara wilaya ya Bunda, nilienda sehemu wanachoma nyama nikaagiza nyama nikashangaa njemba inakuja na ugali kwenye kijimfuko ugali una rangi sijui kahawia ile sijui nyekundu hata sikumbuki vizuri.
Nikamwambia sijaagiza ugali, akasema sasa unakulaje. Nikalipa nyama yake nikaenda sehemu ya chakula nikaachana na mambo ya kuchoma nyama.