Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

Mama ntilie atakwambia nyama ikiisha ugali wake utabaki, hivyo anauza vyote.
Hapo ni logic tu ndio shida, mimi nilikuwa tayari kulipia bei ya ugali nyama lakini anipe nyama ya kuongezea tu kwenye sahani ya kwanza niliyokuwa nimenunua tayari, kwa hiyo hata kama ugali wake ungebaki isingekuwa ni hasara.
 
Sasa mkuu wewe huoni kuwa hapo ni kuwa kwa mama ntilie huku kuna matajiri kama utajiri utapimwa kwa namna hiyo. Swala liko hivi, kwa wenzetu hivyo vyakula ni adimu sana, ndio maana unakuta hata hawali vyakula fresh. huku kwetu samaki, kuku, unaweza kwenda tu mtoni, baharini ukakamata na kula.Sisi ni matajiri mkuu, uliza wageni wote wakija huku kwetu wanachanganyikiwa na vyakula fresh wanavyokuta huku.
 
Sio dalili ya umasikini, ni umasikini.
 
Mkuu ukila vizuri ndio unaenda chooni mara nyingi, ulaji mbaya wa kufakamia wanga kama ugali, wali na chapati kwa wingi huku inayoitwa mboga ikiwa kidogo ndio huwafanya watu waende chooni mara chache sana au hata kupata constipation kabisa.
Ukiweka factor ya kutopata constipation pembeni, kujaza tumbo kunakufanya uende chooni mara nyingi zaidi.
 
Inabidi aongee kisayansi , kibailojia kuwa miili yetu inahitaji Nini kwa wakati gani, umri uliopo, kazi unayoifanya , uzito wako, na sio kuongea kwa hisia zake tu ama Imani. Binafsi nikipata viazi/mihogo ikiwa na mboga za majani , matunda kikombe Cha maziwa nashukuru mno asili kwa kunipatia chakula
 
Ngoja tumuulize kwanza huyu mshikaji wetu, et GENTAMYCINE we unakula nini kama lishe bora huko UGANDA?
 
Unaongea upumbavu tu.
Iwe hotell au mama ntilie mpango ni huo huo tu mabadiliko ni set upp ya sahani.
Huku utawekewa ugali mwingi nyama kidogo,
Huku wali kibao kuku paja mbogamboga,.
Hotel hivyo hivyo utalipa bei zaidi tu.
Kwako ni hivyohivyo unapika kwa taste unayotaka.
Vyakula ni hivyohivyo tu hamna jipya.
 
Rule of thumb, binadamu anatakiwa kula wanga na mafuta kidogo ukilinganisha na makundi mengine ya chakula.
 
Siku ukifanikiwa kula angalau katika hotel ya nyota tatu ndio utaelewa nilichoandika.
 
Kwa hiki chakula nakupa mwezi mmoja aisee una obesity.
Sio chakula cha afya hiki maana kina content nyingi ya fats na pia kuna content nyingi ya nyama nyekundu mathalan soseji.
Nyanya haifai kuliwa sana mbichi maana haikawii kusababisha prokaryotes wa minyoo.
 
Breakfast inatakiwa iweje?
 
Majibu ya swali lako yapo kwenye buffet.

Kwenye buffee huwa sigusi wali hata siku moja, fish, beef, spaghetti, chicken and salad.

Ukitaka tuenjoy chakula na thamani ya pesa yako ingia hotelini kwenye restaurants lipia buffee hutoangaika tena na mambo kama haya.

Sheria buffee ni mpaka ushibe rudia hata mara 20 ni wewe tu, ukitaka Kula kuku tupu na samaki tu ni wewe Tu.
 

Attachments

  • IMG-20240411-WA0046.jpg
    132 KB · Views: 6
kabisa na sijui nani alileta hii Idea,
 
Jamaa anazungumzia kuchukulia Nyama, samaki kama mboga, hicho ni chakula, haijalishi.

Nyama sio mboga ni full chakula the same kwa Samaki.

Hata ugari ni chakula pia kwa levo zetu, the same na wali, au matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…