Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

Hotelini Bei unayolipia ni sababu ya Ubora wa Chakula au Experience / Hospitality ?

Ubora haupimwi kwa Bei bali Bei inatokana na Supply, Demand na Shortage.... Tena kwa mama ntilie huenda ukapata chakula fresh kuliko processed / refrigerated food za kwenye Hoteli...

Bongo Burger unaweza kununua kwa gharama kubwa ila kumbe ni Junk..., Na ukiwa mbele unaweza kutafuta Yuca (mihogo) kila kona na usipate.... Vilevile mtu hapati chakula sababu ya ku-balance diet pekee bali hamu na ni kipi kwa wakati huo anavutiwa nacho....

By the way hio ya kwamba Hoteli kubwa hiki ni nyongeza na hiki unalipa usipokula n.k. sijakuelewa mkuu Hoteli kubwa kama ni 8 Course Meal unaanzia Starter wakati unasubiri wapike main meal na mwisho wa siku unamalizia Dessert....

Na kama ni Buffet mtu unachukua unavyotaka kwa gharama ileile....;

In Short to each His / Her Own.... na Price is not Necessarily Quality....
 
Elimu ya lishe na umaskini ni tatizo kubwa Africa, hata kuna matajiri wakubwa ila elimu ya lishe ni shida!
 
Breakfast inatakiwa iweje?
Kikawaida asubuhi hutakiwi kula sana unatakiwa upate wanga kiasi kidogo na protini kiasi kidogo.
Mathalan chai,mkate wenye blue band ama jam na yai inatosha.
Mkate protein na blueband ina protein na fats yai lina protein.
Inatosha kwa hiko kiwango.
 
Rule of thumb, binadamu anatakiwa kula wanga na mafuta kidogo ukilinganisha na makundi mengine ya chakula.
  • Eat Most - Grains.
  • Eat More - Vegetables and fruits.
  • Eat Moderately - Meat, fish, egg and alternatives (including dry beans) and milk and alternatives.
  • Eat Less - Fat/ oil, salt and sugar.
  • Drink adequate amount of fluid (including water, tea, clear soup, etc) every day.
 

Dogo acha kukariri mistari ukafikiri umesha elimika!
Jibu la hoja yako ni kuwa:
Mama mtilie na migahawa soko lao au niseme target market ni kulisha wazalishaji/Wafanyakazi wanaohitaji Nguvu (Starch) kufanya kazi ngumu (mafundi, wakulima nk) wakati hayo mahoteli soko lao ni kulisha white color shirt (wafanyakazi wachache wa maofisi) na watu walio kwenda kule kupumzika ambao hawaihitaji chakula cha nguvu kama wanga HIVYO hula protein zaidi, matunda na mboga/vegie
 
Jamaa anazungumzia kuchukulia Nyama, samaki kama mboga, hicho ni chakula, haijalishi.

Nyama sio mboga ni full chakula the same kwa Samaki.

Hata ugari ni chakula pia kwa levo zetu, the same na wali, au matunda
Kwa mtu aliyewahi Kula samaki Sato villa park Mwanza, Yule Sato mkubwa peke yake unashiba, ukitaka kuongeza uzito labda Kigali ngumu Tu au chips kiasi Tu, lakini unakula samaki mkubwa wa foil mwenye vegetable kwenye foil unashiba, na kama huna msuli huyo Sato peke yako humalizi.

Wanaoijuwa villa park ya Mwanza ya wakati ule watatowa ushuhuda hapa.
 
Kikawaida asubuhi hutakiwi kula sana unatakiwa upate wanga kiasi kidogo na protini kiasi kidogo.
Mathalan chai,mkate wenye blue band ama jam na yai inatosha.
Mkate protein na blueband ina protein na fats yai lina protein.
Inatosha kwa hiko kiwango.
Wengi hamfahamu ukweli, asubuhi binadamu ndio unatakiwa Kula na kushiba vizuri.

Wanaokula ugali asubuhi wako sahihi zaidi Kwa maisha yetu ya uswahilini.
 
Kwangu mboga ya majani ndo Bora mudawote na ikichanganywa na karanga ,figili,nyamusa ,mchicha ,lifweni plus lutata na mazoezi
 
Achana na hiyo, chukua hii kama huwezi kutumia hand/fist rule, katika sahani moja nzima
1/4-Wanga
1/4-Protini
1/4-Matunda
1/4-Mboga za majani
 
Hapo mkuu fish eat more and fruits eat moderate,nyama nyeupe hususan ya samaki nzuri sana kwa afya.
Fruits ni micro nutrients na ukila in excess kuna shida yake.
 
Je nasisi tunaokula ugali mkubwa na ugali mdogo kama mboga unatuweka kundi gani
 
Do! mama ntilie wakati mwingine unaweza kufikiri hawajui wanachotafuta, unaweza kwenda kununua chapati tupu wakakukatalia kuwa hawauzi bila chai, haya siku nyingine unaenda unataka chai tupu hawataki tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…