Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo




Utaonaje maendeleo na ajakuoa+
 
Daaah pengine Kodi kubwa yaya toure ashawah kulalamika sanaa kuhusu Kodi za ulaya
 
Samata hajawahi lipwa hiyo pesa Kwa mwezi
Issue sio kwamba haijawahi kulipwa hiyo hela, issue ni kwamba baada ya makato ya Kodi anabakia na kiasi gani

Wakati yupo Aston villa alikuwa analipwa £40000 Kwa week, Kwa mwezi itakuwa £160000 ni zaidi ya hiyo 400M unayoongelea, kaangalie kwenye payroll ya Aston villa

Kwahiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba amewahi kulipwa hiyo hela, unless otherwise uwe na uthibitisho wa kukanusha
 
 
Kajenga msikiti
 
Una uhakika hiyo milion mia nne au unaleta story za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…