Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

View attachment 2674110

Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.

Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.

Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.

Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.

Natoa hoja.

Utaonaje maendeleo na ajakuoa+
 
Daaah pengine Kodi kubwa yaya toure ashawah kulalamika sanaa kuhusu Kodi za ulaya
 
Samata hajawahi lipwa hiyo pesa Kwa mwezi
Issue sio kwamba haijawahi kulipwa hiyo hela, issue ni kwamba baada ya makato ya Kodi anabakia na kiasi gani

Wakati yupo Aston villa alikuwa analipwa £40000 Kwa week, Kwa mwezi itakuwa £160000 ni zaidi ya hiyo 400M unayoongelea, kaangalie kwenye payroll ya Aston villa

Kwahiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba amewahi kulipwa hiyo hela, unless otherwise uwe na uthibitisho wa kukanusha
 
Screenshot_20230701-120143.jpg
 
Una point aisee. Sasa vijana wengine watapata vipi molari ya kucheza nje kama aliecheza nje maendeleo yake yamejificha kama ya Wachezaji wa Simba na yanga. Mbona tunajua shilole ana mgahawa , nani kamloga kwa kujua hivyo? Kijana aweke biashara zake wazi ili apate wateja zaidi na vijana wengine wawe motivated Hakuna atakae mloga, mbona hamjamloga Mo na Barekhesa.
Kajenga msikiti
 
Una uhakika hiyo milion mia nne au unaleta story za vijiweni

Back
Top Bottom