Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wendawazimu wengi wanamiliki smartphone.
Naunga mkono hojaKwa ngazi ya timu ya taifa wachezaji wengi hawana maajabu hasa timu yetu ya taifa! Ila kwenye vilabu vyao wanafanya vema
Sitaki mmesahau kazi na umri?Ndugu yangu Samatta tunakuomba urudishe kile Watu wanachokuonΓ na wanachokusifia nacho.
Acheni nongwa mbona anaecheza fresh TU yeye ndio alitoa assist kumpa Msuva akashinda lile Goli hivi hua mnaangalia nini uwanjani?Una hoja usikilizwe. Samatta haisaidii kabisa timu bora hata msuva
Guinea Bissau kaipiga ivory coast bao 4-0 Sisi Morocco tulijitahidi wakashinda 3-0 kwa mbinde kwanini tusipende cha kwetu? Hata km ndio hivyo tia maji tia maji Ila ndio cha kwetuAfcon ni mashindano makubwa na yanakusanya mastaa wengi wanaojua soka. Kama ulitegemea kwa viwango vya mastaa wetu vingeweza ku-outshine vipaji vya nchi zilizowekeza kwenye mpira basi umejipiga sana.
Fasihi + Mpira + Ujuaji = Uzi wa ovyo πππ (Natania)
Wapuuzi ni wengi sana, hii inaashiria tuna vijana wa hovyo sana Taifa hili.
Mchezaji pekee tokea Tanganyika ambaye amewahi kuwa mchezaji bora wa Africa 2015 unapata wapi ujasiri wa kusema hawezi kandanda?.
Mpira hauchezwi na mtu mmoja pekee uwanjani bali ni ushirikiano wa watu zaidi ya 11.
Endapo wachezaji wawili wanacheza vema, kisha 9 wanacheza vibaya, hapo tegemea juhudi za hao wawili zitamezwa na hao vilaza 9. Hiki ndicho kinachomkumba Mbwana.
Nchi hii haijawahi zalisha mchezaji aliyeweza kuwa top scorer hata hapo burundi, sasa unapata wapi uthubutu wa kumtukana top scorer wa ligi ya DRC, CAF CL, ligi kuu ya Ubeligiji, amecheza ligi kuu Epl, Turkey, Greece na Tanganyika?.
Afcon ni mashindano makubwa na yanakusanya mastaa wengi wanaojua soka. Kama ulitegemea kwa viwango vya mastaa wetu vingeweza ku-outshine vipaji vya nchi zilizowekeza kwenye mpira basi umejipiga sana.
Fasihi + Mpira + Ujuaji = Uzi wa ovyo πππ (Natania)
Anacheza vema ila anaangushwa na kundi kubwa la wachezaji wa viwango vidogo.Kwa hiyo mkuu kwa upande wako unaona ukubwa wa Samatta ndani ya uwanja akiaa na taifa Stars?
Hizo ni tantarira tu, juhudi gani zinakuwa dissloved na viwango vya wengine wakati anapocheza Taifa stars yeye ndo kimeo kuliko wengine,angeonekana nafuu kuliko wenzake angekuwa na kiwango hicho, Samata hamna kituSisi soka kiufupi hakuna kitu. Achana na Samata aliyejipambanua kivyake, juhudi zake zinakuwa dissolved na viwango ugali vya wachezaji wengine. Ukiwa kati ya wachawi vyuma arobaini na umejenga karibu na na una"hang out" nao na wewe u-binadamu unakutoka unakuwa mchawichawi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Anacheza vema ila anaangushwa na kundi kubwa la wachezaji wa viwango vidogo.
Kuna nyakati anapambani hadi unashindwa kujua anacheza beki, kiungo au mshambuliaji.
Juhudi zake kwa sasa hazipimiki vema kwa vile;
a) Hana watu sahihi wanaomzunguka kama alivyokuwa TP Mazembe, KRC Genk na huko kwingineko Ulaya
b) Umri umemtupa mkono, hivyo ufanisi lazima ushuke.
c) Fitness ya wachezaji wa Taifa Stars wengi iko chini sana hali inayopelekea kushindwa kucheza kwa kasi ileile kwa dakika zote 90 kama afanyavyo Mbwana.
Kwa mazingira hayo usitegemee maajabu kutoka kwa Mbwana.
Simon kwa sasa ana bahati ya kufunga lakini hana uwezo wa kucheza zaidi ya dakika 45 kwa kasi ile ile tofauti na ICON wetu Mbwana.
Tumpe heshima anayositahili Mbwana kwa kazi kubwa aliyoifanya uwanjani hadi kuwa mfungaji bora kinara namba mbili wa muda wote hapo Taifa stars.