Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Samatta ni mchezaji wa klabu kwa sasa, sio mchezaji wa timu ya taifa. Huku anakuja tu ili akikataa asilaumiwe ila sio kwamba anatia juhudi binafsi. Hata ubishi wa Kibu pale mbele unaonekana at least asumbue mabeki hata kama hafungi.
Haonyeshi jitihada àngalau tuone kuwa anapambana ila wenzake wanamuangusha. Yeye ndiye anakuwa slow sana