Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Samata ni mmoja ya wachezaji wakubwa kuwahi kutokea hapa nchini, katika zama zake ambapo alikua kijana kaibeba sana timu ya taifa bahati mbaya alikua peke yake asingeweza kufanya miujiza. George Weah pamoja na kuchukua balon dor hakufanya cha maana akiwa na Liberia, Giggs ni mchezajo mkubwa duniani lakini hajawahi kufanya cha maana akiwa na Wales, kwanini? Kwa sababu ubora wa wachezaji wenzao ulikua chini. Kwa sasa Samata umri umeshaenda kupata majeruhi ni rahisi hawezi akacheza kwa kujitoa kama alivyokua mdogo lazima alinde kibarua chake ulaya.
🙏🏾🙏🏾
Shukran mkuu kwa maelezo yaliyonyooka