Samatta ni mkubwa nje ya uwanja na kwenye vyombo vya Habari lakini ndani ya uwanja ni mdogo Sana

Samatta ni mchezaji wa klabu kwa sasa, sio mchezaji wa timu ya taifa. Huku anakuja tu ili akikataa asilaumiwe ila sio kwamba anatia juhudi binafsi. Hata ubishi wa Kibu pale mbele unaonekana at least asumbue mabeki hata kama hafungi.

Haonyeshi jitihada àngalau tuone kuwa anapambana ila wenzake wanamuangusha. Yeye ndiye anakuwa slow sana
 
Tatizo ni kujifanya kila kitu unajua, mapenzi wewe, siasa wewe, dini wewe ukiona watu wanampuuzia anakuja kuvamia mada nyingine ambazo hata hazijui.
Samatta amezungukwa na wachezaji wa aina gani, unaona anakimbia na mpira lakini wachezaji wengine wanashindwa kutafuta nafasi kidogo anajitahidi Msuva ila unacheza na wakina Kibu, Shabalala ambao wengi ni vipaji.
Kama aliangalia mpira goli dhidi ya Zambia kiasi kikubwa ni juhudi zake binafsi.
 
Stars anacheza na vilaza wengi wanaomzunguka kitu kinachochagiza mchango wake uwanjani uonekane wa kawaida.

Kwa mfano mfungaji bora wa muda wote duniani, bwana Cristiano Ronaldo, utasema hana/hakuwa na kiwango kinachoshawishi kwa vile timu yake ya Taifa haijawahi shinda kombe la dunia au kufika japo robo fainali ya kombe hilo?.

Ukipata majibu tambua hali hiyo ndiyo inayomsibu Mbwana.
 
Ana goli 22 stars, nyuma ya mfungaji Bora wa muda wote,ngada.. mwenye goli 26
 

Naunga mkono HOJA, hajui kujituma, yupo slow na hii yote ni sababu ametokea SIMBA SC

He is overrated
 
Samata ni mmoja ya wachezaji wakubwa kuwahi kutokea hapa nchini, katika zama zake ambapo alikua kijana kaibeba sana timu ya taifa bahati mbaya alikua peke yake asingeweza kufanya miujiza. George Weah pamoja na kuchukua balon dor hakufanya cha maana akiwa na Liberia, Giggs ni mchezajo mkubwa duniani lakini hajawahi kufanya cha maana akiwa na Wales, kwanini? Kwa sababu ubora wa wachezaji wenzao ulikua chini. Kwa sasa Samata umri umeshaenda kupata majeruhi ni rahisi hawezi akacheza kwa kujitoa kama alivyokua mdogo lazima alinde kibarua chake ulaya.
 

Labda ukubwa wa kufoji age

Hakuna mchezaji mkubwa aliyekuwa rooted na SSC

Timu inaongozwa na viazi inatoaje mchezaji mkubwa

Ndoto
 
Mtibeli leo hujasema uko wapi.

Ila jua kuwa mpira(team) ni system. Everything has to be functional for the system to work.
 
Chuki zako tu ndugu yangu, ukiona mchezaji timu ikifungwa anabebeshwa zigo la zambi na timu ikifanya vizuri anabeba sifa ujue ana kitu tofauti na wenzake tuwaheshimu wachezaji wetu.
 
Mara ya mwisho Samatta kufunga akiwa na timu ya taifa ilikua lini?
 
Samata ana goli 22 katika timu ya Taifa Sasa ili ujue kwamba goli 22 ni nyingi kwa Timu ya Taifa tafuta washambuliaji wenye goli 22 kwenye timu za Taifa kwenye Rank ya Dunia angalia yupo na wakina nani.
 
Mpaka wasafi wakaimba wakasema "SOKA SAMATTA" lakini waaapi....!
 
Hivi ndio aliendaga ligi ya uingereza dah utopwinyo mtupu hana kile watu wanamsifia mfano kwenye tangazo la afcon utaskia hapa samata kule sadio mane huku salaa jamani naona aibu mimi wanatajwa watu wenye mauwezo uwanjani ila kwa samata hata kama ni mtz mwenzangu sioni anafanya nn
 
Samatta sio mzalendo...period anaogopa kuumia akakosa mechi za club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…