Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Samata ni mmoja ya wachezaji wakubwa kuwahi kutokea hapa nchini, katika zama zake ambapo alikua kijana kaibeba sana timu ya taifa bahati mbaya alikua peke yake asingeweza kufanya miujiza. George Weah pamoja na kuchukua balon dor hakufanya cha maana akiwa na Liberia, Giggs ni mchezajo mkubwa duniani lakini hajawahi kufanya cha maana akiwa na Wales, kwanini? Kwa sababu ubora wa wachezaji wenzao ulikua chini. Kwa sasa Samata umri umeshaenda kupata majeruhi ni rahisi hawezi akacheza kwa kujitoa kama alivyokua mdogo lazima alinde kibarua chake ulaya.
Samatta sio mzalendo...period anaogopa kuumia akakosa mechi za club
Hana uzalendo.......Mbona wenzake wanapigana kufa kupona.
Hivi ndio aliendaga ligi ya uingereza dah utopwinyo mtupu hana kile watu wanamsifia mfano kwenye tangazo la afcon utaskia hapa samata kule sadio mane huku salaa jamani naona aibu mimi wanatajwa watu wenye mauwezo uwanjani ila kwa samata hata kama ni mtz mwenzangu sioni anafanya nn
Watibeli hatunaga msamiati chukiChuki zako tu ndugu yangu, ukiona mchezaji timu ikifungwa anabebeshwa zigo la zambi na timu ikifanya vizuri anabeba sifa ujue ana kitu tofauti na wenzake tuwaheshimu wachezaji wetu.
Samatta abasubira aletewe mipira ya kupiga kichwa tu hawezi tena kutafuta mpiraUna hoja usikilizwe. Samatta haisaidii kabisa timu bora hata msuva