Sambusa za nyama na juice ya matunda

Haha! mkuu wengine fani zao ni u chef ukute ndo alichosomea na anafanya maisha kupitia hicho so ilimradi havunji sheria mi sioni tabu!.
Upo sawa mkuu ila nimeandika hiyo BTW kwasababu nimekuja kugundua watu wa kanda ya ziwa wana mfumo dume sana, kupika mwanaume wanashangaa sana, hata mtu akila kuondoa chombo tu hawezi na unakuta ni mazingira ya kazini mpo wanaume tu.
 
Mimi huwa nasaga kwanza passion halafu nachuja na chujio la chai kutoa mbegu.
Halafu maji ya passion nachanganya na maembe nasaga tena.
Vidude vinakua havipo hata punje.
Duh basi mimi nilikuwa nachuja mpaka nachoka nawekaga ivyo ivyo kuna siku kuna jamaa walinitembelea wakasema wamependa izo chenga nikaona kama inaongeza mvuto nikaachana nazo
 
Mimi huwa nasaga kwanza passion halafu nachuja na chujio la chai kutoa mbegu.
Halafu maji ya passion nachanganya na maembe nasaga tena.
Vidude vinakua havipo hata punje.
ndo inavyotakiwa usikute yeye anamix vyote! passion mara nyingi inakuwa blended peke yake halafu ndo unakuja kuimix, kuna matunda yakublend kwa kuyamix na mengine lazima uyablend peke yake.
 
Nishakushtukia ww n Mwl wa Hotel Management na apo ni hotelini izo za mambugani.
unajua hadi kusukuma chapati aloo we kiboko.
 
Nimepamiss hapo kwako ..kipindi Cha masika raha sana hapo ni pale kileleni 🥹🥹🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…