Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #141
Mikopo ipo mingi sana NMB wanatoaMtaji wenyewe wa afu tatu sasa wakiiba si ntafunga goli ๐น๐น๐น
๐น๐น๐น Sasa kwann nisinywe na wakinga toka watoto tunapewa ulanzi km chai ๐คฃNa weww unapiga vyombo kabisa
Duh ili msizie mama aendelee kulima ahah tutafutie uncle mwaka uhuu๐น๐น๐น Sasa kwann nisinywe na wakinga toka watoto tunapewa ulanzi km chai ๐คฃ
Sina asset ya kukopea, lete hati yako ya nyumba basi mdogo angu tukopee ๐๐น๐นMikopo ipo mingi sana NMB wanatoa
hiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..๐Kinywa kicha kinauma nilijaribu serenget lite kichwa kiliuma sana hapo ni moja tu nikaja flyfish kichwa bado kuuma nikaja wine moja hivi inaitwa drothp jina lakr gumu ikanishinda kabisa
Hata mimi nataka nijaziwe minyama ๐Sambusa nzuri ila nyama unapunja sana...
Au sio ๐น๐นDuh ili msizie mama aendelee kulima ahah tutafutie uncle mwaka uhuu
malevi bhana...๐คฃHii umix na sprite uweke na ice inabamba kinoumaโฆ ๐
Ni mwendo wa kubalance km mkemia mkuu ๐น๐นmalevi bhana...๐คฃ
wewe ushakuwa mixologist sasa...๐คฃNi mwendo wa kubalance km mkemia mkuu ๐น๐น
Mh! halafu ukiliwa uje ulete uzi "wakaka wa jf wanatabia mbaya!"naomba niwe mgeni wako leo, usimalize pleaseee. Niko njiani ๐
๐น๐น๐น Mxieeeeww.!!wewe ushakuwa mixologist sasa...๐คฃ
Nyumba ya urith unataka yule bimkubwa afeSina asset ya kukopea, lete hati yako ya nyumba basi mdogo angu tukopee ๐๐น๐น
Mwachi njoo unaitwa huku.Hii umix na sprite uweke na ice inabamba kinoumaโฆ ๐
sema ukweli momy...?๐น๐น๐น Mxieeeeww.!!
Ahahah ngumu iyo siku kichwa kilium mpaka niliokuwa nao wakashangaa kabisahiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..๐
Basi wewe ni malaika yani wine unaumwa kichwa!, ngoja nikuache ukikuwa utakuja mwenyewe nilitaka nikuvute!..๐คฃ
Kabisa iachie kesho ๐Au sio ๐น๐น
Ngoja niachie placenta nikuletee uncle ๐คฃ
Hizi ni for beginners wazoefu ni mwendo wa KUPIGA spirit...kitu Cha magic moment.. konyagi...k vant..Na weww unapiga vyombo kabisa