Same: Ajali yaua watu saba wa familia moja

Cost ya kubebana ndo hiyo mimi hiyo kitu huwa naona haipo sawa even if ni askari sheria ifuate mkondo mtu 7 kwenye Corolla 110 ni mminyano wa maana
Mnaouliza kuhusu checkpoints,

Uhamiaji ni Jeshi, lipo mambo ya ndani kama polisi.

Mnategemea polisi watahoji kitu baada ya kuona ni mwem
 
Uzembe? Simple conclusion kama Kawaida, hivi Kuna mtu anaweza tu kuhama site yake with no reason? Huenda gari ilipata pancha sterling ikamvutia upande mwingine, huu nao ni uzembe?
 
Sasa mzee si unajua uhamiaji wao ni polisi njiani wanatanua vibaya mno...
 
Its spiritual attack, kamwe usithubutu kupanda gari/basi moja mkiwa watu wa familia moja ni hatari sana kwenye ulimwengu wa roho tumia "Divide and Spread Rule" huu ni mfumo wanaotumia Marais wengi wakisafiri na gari/basi barabarani. RIP
 
r.i.p
 
Watu saba mmepanda gari moja halafu Corolla.

Humo ndani walikaaje?
 
Tukiwaambia gari za mzungu ni gari ngumu na kidogo zina usalama kwenye ajali muwe mnaelewa na muache kukaza shingo.

Ukiangalia Chassis namba ya hiyo gari TIRA inaonesha ni VW Touran.

Wajapan nawasubiri hapa.
 
Inasikitisha. Mungu awapae pumziko la amani wote waliotangulia, majeruhi wapone haraka .
 
Corolla na Corrola Spacio ni magari mawili Tofauti. Gari ilikuwa imejaza kupita kiasi. Acha kuhamisha magoli.
 
Mwambie hata Rumion ni Corolla.

Asihamishe magoal.
 
Alikuwa ana-overtake au kuna sababu nyingine? Ingawaje jibu sahihi la swali linaweza lisipatikane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…