Warusi ,wachina na waarabu kwa sasa ndio wanatufaa waafrika kuanzia mikopo yao au uwekezaji au biasharaHiyo pesa anatoa wapi kuleta Africa? CCM bwana kweli vilaza
Acha ujinga wewe, kwenye jambo lolote linalohusu maslahi mapana ya Taifa kwa ujumla lazima kuwe na Trasparent.Mabadiliko sio kwenye kila kitu.Hakuna jambo la kila mtu duniani.Lazima kuwe na wachache wanaolifanyia maamuzi aidha kwa manufaa ya wengi au wachache.Wabongo walivyo wajuaji mkiwekewa kila kitu wazi hakuna kitakachofanyika.
For every action, there is an equal and opposite reaction.Warusi ,wachina na waarabu kwa sasa ndio wanatufaa waafrika kuanzia mikopo yao au uwekezaji au biashara
Hawana masharti magumu na ya kisenfe kama nchi za Marekani na Ulaya oooh halalisheni kwanza ushoga ,usagaji na ndoa za jinsia moja ndio tuje kuwekeza au kufanya biashara na nyie waafrika
China ,urusi na waarabu huo usenge hawana
Karibuni warusi Tanzania
Tunawakaribisha warusi kwa mikono miwili
Hawa shida wanaweka mfukoni hela zote.Mussa Traore kule Bhukinafaso anabadilisha nchi na maisha ya wananchi wake kutokana na mauzo ya uranium.
Hujui lolote,uraniam baada ya kurutubishwa ndipo inapokuwa hatari,bila kuirutubisha jipandie,ndizi mihogo kisamvu jilie ushibe ukalale!Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.
Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?
Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.
Dodoma,singida na kwingine kwingi kabisaHivi uranium Iko wapi mkuu? Kwa hapa Tanzania
Usikariri, mambo yanabadilika ==== Angalia Mrusi anachowafanyia ndugu zake Ukraine.Naijua historia vizuri labda wewe ndio uanze kudanganya hapa
Sahihi tuna muda mrefu naye Marekani kama ndugu na rafiki wa karibu lakini toka aweke masharti kuwa lazima Africa tukubali usenge wao kuwa tukubali mambo ya ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja kupata misaada au uwekezaji au biashara Africa tumeingia nyongo hatuna hamu nao kabisaMarekani amekuwa mshirika wetu wa muda mrefu. Amefanya mambo mengi ya kimaendeleo kwa jamii ya watu Watanzania hivyo mkukaribisha adui wake namba moja kwenye Taifa letu, kuna uwezekano mkubwa wa kuathiri diplomasia yetu na Marekani.
Sasa kama hili nalo unarudisha lawama kwa Russia itabidi urudi darasani upyaUsikariri, mambo yanabadilika ==== Angalia Mrusi anachowafanyia ndugu zake Ukraine.
Akwemde zake mbali,hatuwezi kufanya mambo kama tutaishi milele!Polepole ana hoja ya msingi sana. Nchi inahitaji reforms kubwa saana.
Sasa kwa nini investor wakubwa wa China na Urusi ni Westerners?
Soma, elewa alafu ndiyo hujibu.Hujui lolote,uraniam baada ya kurutubishwa ndipo inapokuwa hatari,bila kuirutubisha jipandie,ndizi mihogo kisamvu jilie ushibe ukalale!
Mkuu naomba niwe tofauti na wewe kuhusu Samia na huu mradi.Toka mwaka 2010 au 2011 hawa warusi walikuwepo na huu mradi.Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.
Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?
Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.
Je, una uhakika gani wanaweza ku-offer misaada na maendeleo aliyokuwa anaitoa Mmerakani kwa Tanzania karibia katika sekta zote.Sahihi tuna muda mrefu naye Marekani kama ndugu na rafiki wa karibu lakini toka aweke masharti kuwa lazima Africa tukubali usenge wao kuwa tukubali mambo ya ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja kupata misaada au uwekezaji au biashara Africa tumeingia nyongo hatuna hamu nao kabisa
Sababu hayo wanataka ni kinyume na mila na desturi na maadili ya kiafrika
Kwetu kwa sasa China na urusi na uarabuni kwetu ndio wanaonekana watu.muhimu sana kwetu watanzania
Na Bahi DodomaNamtumbo, Mkoa wa Ruvuma.
Kurudi darasani sio ujinga ni jambo jema sana.Sasa kama hili nalo unarudisha lawama kwa Russia itabidi urudi darasani upya