bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
Hii project ilikuwepo tangu 2013 na tathmini ya mazingira ilifanyika, na pia eneo la Selous linalohusishwa na mradi liliondolewa rasmi na UNESCO as an area within the Heritage Site.Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.
Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?
Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.
Kubali au ukatae lakini baki nalo kichwani mwako kwamba Afrika bado tunatawaliwa na huo ndiyo "Ukweli mchungu".Marekani wanahusikaje kwenye uranium iliyoko Tanzania? Acha fikira za kitumwa.
Russia imeinvest kwenye mataifs ya deposits kubwa ya uranium kuliko Tanzania kama Namibia, Kazakhastan na Niger
Na Marekani haijaishobokea itakuwa sembuse uranium ya Tanzania!
Kwenye ishu za Mazingira uwa sikupingi hata kidogo. Najua upo nondo kweli kweli.Hii project ilikuwepo tangu 2013 na tathmini ya mazingira ilifanyika, na pia eneo la Selous linalohusishwa na mradi liliondolewa rasmi na UNESCO as an area within the Heritage Site.
Kubali au ukatae lakini baki nalo kichwani mwako kwamba Afrika bado tunatawaliwa na huo ndiyo "Ukweli mchungu".
Ndiyo maana nikaandika "Je, Marekani atavumilia?'' swali nimeliacha kwako na ahsante kwa jibu lako.Suala la Marekani kuingilia Tanzania kisa Russia wamewekeza kwenye uranium sahau hakuna kitu kama hicho
Tuna tawaliwa indirectly na sio directKubali au ukatae lakini baki nalo kichwani mwako kwamba Afrika bado tunatawaliwa na huo ndiyo "Ukweli mchungu".
Hizi Barabara kubwa kubwa kabla ya mwaka 2000 hazikuwepo, unajua sababu?Marekani amekuwa mshirika wetu wa muda mrefu. Amefanya mambo mengi ya kimaendeleo kwa jamii ya watu Watanzania hivyo mkukaribisha adui wake namba moja kwenye Taifa letu, kuna uwezekano mkubwa wa kuathiri diplomasia yetu na Marekani.
Ndiyo maana nikaandika "Je, Marekani atavumilia?'' swali nimeliacha kwako na ahsante kwa jibu lako.
Misaada ya kusenge hatutaki kwa kweli kama inaunganishwa na kuwa lazima tukubali ushoga na usagaji na ndoa za jinsia mojaJe, una uhakika gani wanaweza ku-offer misaada na maendeleo aliyokuwa anaitoa Mmerakani kwa Tanzania karibia katika sekta zote.
Acha tutumie huu umeme wa maji, technology ya kuzalisha umeme wa nuclear bado sana kwa sasa tupambane kuacha matumizi ya kuni na mkaa.Wajenge kwanza kituo cha umeme wa hayo madini hapa tz ili tuanze kuuza umeme
Uho ukija ni uhakika no kukatika katika na treni kukwama kwama njian ili iundwe tren ya umeme toka dar uo kigomaAcha tutumie huu umeme wa maji, technology ya kuzalisha umeme wa nuclear bado sana kwa sasa tupambane kuacha matumizi ya kuni na mkaa.
Mwombe Mungu uwepo miaka 50 ijayo uone umeme wa nuclear hapa Tanzania.Uho ukija ni uhakika no kukatika katika na treni kukwama kwama njian ili iundwe tren ya umeme toka dar uo kigoma
Amina 🙏Mwombe Mungu uwepo miaka 50 ijayo uone umeme wa nuclear hapa Tanzania.
Kwamba Russia kwenye ubeberu haimo?!Kwa taarifa yako tu ,russia ndio kinara wa trcknolojia ya nuclea duniani ,kama hujui ni vyema ukaacha kushapalia ujinga wa hawa mabeberu .Kwa taarifa yako ,zaidi ya asilimia hamsini ya ujenzi wa viwanda vya nishati ya nuclea vinavyojengwa hapa duniani muda huu Russia ndio anajenga.KIMA MKUBWA
Kwa Tanzania kuna zone kama saba (a_g) ambazo inasemekana yapo hayo madini ikiwemoHivi uranium Iko wapi mkuu? Kwa hapa Tanzania
Urusi ndio nchi iliyowahi kusababisha ajali kubwa zaidi ya nuclear duniani kutokana na uzembe na siasa, Chernobyl mwaka 1986.Warusi ni wataalam wa nuclear duniani pia hawana restriction nyingi.
Kwani amekosea wapi mpaka una mtukana !?Kwa taarifa yako tu ,russia ndio kinara wa trcknolojia ya nuclea duniani ,kama hujui ni vyema ukaacha kushapalia ujinga wa hawa mabeberu .Kwa taarifa yako ,zaidi ya asilimia hamsini ya ujenzi wa viwanda vya nishati ya nuclea vinavyojengwa hapa duniani muda huu Russia ndio anajenga.KIMA MKUBWA
Tupumzishe kidogo 😁Urusi ndio nchi iliyowahi kusababisha ajali kubwa zaidi ya nuclear duniani kutokana na uzembe na siasa, Chernobyl mwaka 1986.