View: https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4
Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa.
Sasa analaumu wengine kwa ubinafsi wake wa utekaji, wizi wa kura, undungu, uzanzibari, ufisadi, unyanyasaji wa vyama, kukataa demokrasia. Bila wazalendo kusimama tutaendea kuwa masikini hivi. Yaani nchi inaenda nyuma.
Hawaongelei kupunguza kununua magari