Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.

Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.

Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
Screenshot_20240518-111159.jpg
 
Ivi uwa anazipeleka wapi izo hela anazopewa maana nchini kwake kuna mtu mwenye familia ya watu 5 anaweka bajeti ya elfu2 chakula cha usiku na mchana
 
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.

Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.

Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
View attachment 2993081
Aache ombaomba afufue viwanda na biashara.
 
Ufaransa ilitekwa na Germany miaka fulani before WW2, Mababu zao na ndugu zao wa Ulaya ndio walipigana kufa na kupona pale Normandy kuikomboa France.

Baada ya hapo Babu zao walikufa na kupambana Kwa jasho na damu kuijenga France na Ulaya zilizosambaratishwa na vita.

HAKUNA CHA BURE DUNIANI NA HUWEZI KUIJENGA NCHI YAKO KWA KUPEWAPEWA TU NA KUTEGEMEA AKILI NA NGUVU ZA WENGINE.
SILAHA PEKEE YAKUJITEGEMEA NI KUONGOZA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA MENGI HUKU MKILINDA NA KUTUNZA RASIRIMALI NA NGUVU KAZI YENU.
MWAMBIENI MAMA WAACHE KUTAPANYA HELA NA KUTUMIA VIBAYA HUKU HAKUNA KINACHOZALISHWA ZAIDI YA KUOMBAOMBA NA MISAADA, MWAMBIENI MAMA AKAECHINI NA KUJENGA MAARIFA YA WATU PAMOJA NA KUMOBILIZE NGUVU KAZI INAYOZAGAA MITAANI IENDE KUZALISHA.
 
Hata angepewa msaada Trilioni 10 hajui kuzisimamia zitaibwa zoote na wahuni so hakuna cha kupongeza hapo!.
Dola yenyewe hazipatikani, pesa yetu imeporomoka sana thamani dhidi ya majirani zetu.
 
Back
Top Bottom