jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
Ujinga ni mbaya jamani . Amekusanya nani kazisahau hizo dollar? Unaweza ukawa na akili timamu ukaenda ufaransa kujadili matumizi ya nishati Bora afrika? Hata hujui kama wamekopeshwa kwa masharti? Hata hujui kama waliowakopesha ndiyo wanawaibia nishati? Nani anasomba gesi ya songosongo? Unamjua? Wewe ni mjinga mnoHii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.
Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
View attachment 2993081
Mbona Israel Imekuwa kwa misaada ya US?
Nae kaumbwa na MunguToka lini ibilisi akawa mtakatifu?
Huyu anajua kiarabuHuyo alikuwa hajui kingereza
Wee. Acha kufananisha. Nani ataipa Tanzania dola bilion 6+ kila mwaka?Mbona Israel Imekuwa kwa misaada ya US?