hivi jambo hili anafanya kwa mujibu wa muongozo upi?Haujui kama rais wako yupo Eda
Yuko EDAMkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
sijapenda unaleta mkutano kwenye nchi ya wauaji ambao hawatambui democracy!Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
Utamaduni wetu maustadh 😁hivi jambo hili anafanya kwa mujibu wa muongozo upi?
Labda kauachia muhimili wa bunge ufanye kazi na jumuiya ya kimataifa ya mabunge.Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
Rais wake na nani?Haujui kama rais wako yupo Eda
A.W.O.L❗❕❗Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
mbona wafanyakazi wengine hawapati fursa hiyo? unajua ule mjadala wa state na religion unachukuliwa poa sana, ila impact yake ni kubwa sanaUtamaduni wetu maustadh 😁
Rais yuko juu ya katiba na sheria za nchi Tanzania, She is the state.mbona wafanyakazi wengine hawapati fursa hiyo? unajua ule mjadala wa state na religion unachukuliwa poa sana, ila impact yake ni kubwa sana
Kama hivyo ina maana TBC walikuwa hawajui.Labda kauachia muhimili wa bunge ufanye kazi na jumuiya ya kimataifa ya mabunge.
Hii si kazi ya Spika kweli?
Kweli bhana!Haujui kama rais wako yupo Eda
Hii nayo ni ishu, hivi watumishi wa umma wakifiwa na waume zao huwa wanapewa siku za kukaa eda.mbona wafanyakazi wengine hawapati fursa hiyo? unajua ule mjadala wa state na religion unachukuliwa poa sana, ila impact yake ni kubwa sana
Serikali ya Tanzania haina sifa ya kuwa na coordination.Kama hivyo ina maana TBC walikuwa hawajui.
Kwani yupo?🤣Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?