Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
😁😁😁😁Hii nayo ni ishu, hivi watumishi wa umma wakifiwa na waume zao huwa wanapewa siku za kukaa eda.
😁😁😁😁Hii nayo ni ishu, hivi watumishi wa umma wakifiwa na waume zao huwa wanapewa siku za kukaa eda.
Rais yuko juu ya katiba na sheria za nchi Tanzania, She is the state.
Hii nayo ni ishu, hivi watumishi wa umma wakifiwa na waume zao huwa wanapewa siku za kukaa eda.
Kama anayosemaga huwa anaandikiwa basi anayemuandikia inabidi anyongweAlikuwa hajaandaliwa cha kwenda kusoma! Yule bila kuandikiwa hawezi kutoa maneno yake kichwani mwake!
Wa dini yake ambayo katiba inaitambua na ndiyo maana ilimtaka aape akiwa kashika kitabu cha dini yakehivi jambo hili anafanya kwa mujibu wa muongozo upi?
Kuchoma moto miundombinu na kupora ndiyo demokrasia?sijapenda unaleta mkutano kwenye nchi ya wauaji ambao hawatambui democracy!
wewe mfia ccm, unadhanin kwenye kila jambo inabidi utetee upande ambao majibu yatakua mazuri kwa ccm?Wa dini yake ambayo katiba inaitambua na ndiyo maana ilimtaka aape akiwa kashika kitabu cha dini yake
Siyo lazima kifungu kiwepo,kama hakipo maana yake ruksa anayo mpaka kiwepo cha kukatazawewe mfia ccm, unadhanin kwenye kila jambo inabidi utetee upande ambao majibu yatakua mazuri kwa ccm?
weka hiko kifungu tuone
kwahiyo leo hii 2030 tukipata rais , akatuambia yeye ana dini yake binafsi na inamtaka apumzike kwa miezi mi5 kila mwaka , ataruhusiwa?Siyo lazima kifungu kiwepo,kama hakipo maana yake ruksa anayo mpaka kiwepo cha kukataza
Katiba inatambua kuna eda kwa watumishi.Wa dini yake ambayo katiba inaitambua na ndiyo maana ilimtaka aape akiwa kashika kitabu cha dini yake
Ni statement au swali?Katiba inatambua kuna eda kwa watumishi.
Dini binafsi ndiyo kitu gani?kwahiyo leo hii 2030 tukipata rais , akatuambia yeye ana dini yake binafsi na inamtaka apumzike kwa miezi mi5 kila mwaka , ataruhusiwa?
Tangu amletee figisu Nchimbi, anaishi kwa shida sana... Baada ya kuchungulia kaburi la Mumewe sasa anajjua kufa. Na bado.Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
Muongozo wa Sharia.hivi jambo hili anafanya kwa mujibu wa muongozo upi?
for the sake of argument tuiite "anga" ,Dini binafsi ndiyo kitu gani?
Taja kifungu husika.Katiba inatambua kuna eda kwa watumishi.
ipi? na haihusu wafanyakazi wengine wa umma?Muongozo wa Sharia.