Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

Tanzania haina sifa ya kuwa na coordination.
Point kubwa sana mkuu na ndio maana viongozi huwa wanakurupuka sana na raia kibao wapo kwenye denial kuhusu haya mapungufu ya mfumo badala ya yake huwa wanaibuka na conspiracy theories yakitokea matukio
 
sijapenda unaleta mkutano kwenye nchi ya wauaji ambao hawatambui democracy!
Hata mimi katika vita sijaelewa kwenye hizi taasisi ni kufanyia mikutano kwenye nchi zenye record mbaya ya demokrasia. Serious wanakuja kufanya mkutano katika nchi isiyo na heshima ya demokrasia, kisha wanajadili demokrasia?! Ndio maana wana taasisi isiyo na tija kabisa.
 
Point kubwa sana mkuu na ndio maana viongozi huwa wanakurupuka sana na raia kibao wapo kwenye denial kuhusu haya mapungufu ya mfumo badala ya yake huwa wanaibuka na conspiracy theories yakitokea matukio
Naam,

Nimeona sana hili. Pia wananchi wengi huwa wanawafanya viongozi kama watu fulani wana akili kubwa sana ya kupanga maovu, wakati kwa kiasi kikubwa hawajui hata kutumia mtandao tu. Wengi mabwege kwa kiasi kikubwa.

Yani ni kama wanasahau kuwa Tanzania unaweza kupata uongozi kwa connection na uchawa tu, huhitaji kuwa na akili kubwa sana.

Na kwa sababu hiyo, mambo yanayotokea kwa incompetence kubwa sana, kwa viongozi kuwa na ajizi, kutofanya kazi zao, kuwa na wrong priorities, kwa a series of unfortunate events (well, not so unfortunate, more like criminal negligence) watu kirahisi tu huona kuwa hapa kuna elaborate malicious planning ya viongozi imetokea.

Basi kwa utamaduni wetu wa "Mbongo mpe picha tu, story atamalizia mwenyewe" utasikia kila conspiracy theory hapo.

Mpaka unashangaa, unajiuliza, mbona uwezo wa kufanya conspiracy kubwa kama hii serikalini ni mgumu kuliko hata uwezo wa kukuza uchumi na kuwapa afueni hawa wananchi watulie?

Ina maana hao viongozi hawajaona hilo?

Lakini ukichunguza sana, unaona tatizo la trust, amana.

Tanzania hakuna truat.

Wananchi hawawaamini viongozi.

Viongozi hawawaamini wananchi.

Wananchi wao kwa wao hawaaminiani.

Viongozi wao kwa wao hawaaminiani.

Katika nchi yenye tatizo kubwa hivi la trust, conspiracy theimoies lazima zishamiri sana.

Na tatizo ni kwamba mara nyingine unafikiri hizi ni conapiracy theries tu, halafu zinakuja kuwa kweli.

Kimbembe ni kujua ipi ni conspiracy theory na upi ni ukweli.
 
Quinine pata desa hapa.

Question:

How does the Inter-Parliamentary Union choose a country to host its meeting? It is currently assembling in Tanzania, what led to that choice?

Meta AI Answer:

The IPU has 183 member parliaments. It has 2 Assemblies a year.

How a host is chosen:

1. Invitation: A member parliament offers to host. It's a formal bid - they have to show they can handle ∼2,000 delegates, speakers, staff, security, and pay for it.

2. Governing Council decides: The IPU's Governing Council — 3 MPs from each member parliament — votes on the place and date, ideally a year in advance. Its statutes say:

"The place and date of each Assembly shall be determined by the Governing Council... The Assembly may be held in a host country only if all IPU Members, Associate Members and Observers are invited and if their representatives shall be granted the visas required" 4d6a

"The Member inviting the Assembly shall be responsible for providing all necessary facilities... in conformity with an Agreement concluded with the Secretary General" 4d6a

3. Rotation rule: At least one Assembly per year shall be held in Geneva where the IPU has had its Secretariat since 1921, unless the governing bodies decide otherwise. So in practice they alternate: one in Geneva, one hosted elsewhere. That also explains how regions get a turn - Tashkent hosted the 150th in April 2025, Geneva hosted the 151st/152nd, now outside again.

Why Tanzania now?

You are correct — it is assembling there right now: the 153rd Assembly in Arusha, Oct 5-9, 2026 at the Arusha International Conference Centre. More than 600 parliamentarians will gather. 40fa3255

It is historic because it is the first time Tanzania hosts a full IPU Assembly. a6eb

Three factors led to it:

1. A formal agreement signed this year. Speaker of Tanzania's National Assembly Mussa Azzan Zungu and then-Secretary General Martin Chungong signed the hosting agreement on Feb 27, 2026 in Dar es Salaam. ac59

2. The Tanzania presidency of the IPU. The current IPU President is Tulia Ackson, who is the former Speaker of Tanzania's National Assembly. She chaired the Executive Committee in Geneva that finalized the agenda and move to Arusha. Having a Tanzanian as IPU President made the bid natural.

3. Tanzania's political pitch: The government framed it under President Samia Suluhu Hassan and Tanzania Vision 2050 — good governance, gender equality, climate action, peace-building. The IPU's own statement said "The decision to move the assembly from Geneva... to Arusha is a testament to Tanzania's burgeoning role" and a "vote of confidence in President Samia and in our Vision 2050". 40fa

The theme this week is "Enhancing good governance and empowering communities through inclusivity, trust and opportunities for all" and President Samia is opening it as official host. d654
 
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona Ikulu na TBC wamekuwa waongo?

View attachment 3684745

Anatafutiwa Mchumba na wakina kikwete kwasasa. Kiongozi wa wapigaji!
 
20261006_000424.jpg

20261006_000504.jpg
 
06 October 2026

LIVE : IPU 153rd General Assembly : Arusha 06 October 2026​



View: https://m.youtube.com/watch?v=pDgLkMYUMRM

LIVE NOW: The 153rd General Assembly of the Inter-Parliamentary Union (IPU) is underway in Arusha, Tanzania. Watch as parliamentarians from across the globe convene to debate critical issues of international peace, security, and democratic governance.

Hosted in Africa, this historic assembly shapes global parliamentary diplomacy and advances sustainable development.

More than 2 000 parliamentary delegates and global lawmakers from 183 member nations have gathered in Tanzania's diplomatic hub of Arusha


Join the live broadcast to witness international cooperation in action. Subscribe for official IPU and global governance updates.
 
Back
Top Bottom