Samia hajaonekana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 153 wa IPU jijini Arusha

Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
Labda kauachia muhimili wa bunge ufanye kazi na jumuiya ya kimataifa ya mabunge.

Hii si kazi ya Spika kweli?
 
Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge duniani, Inter-Parliamentary Union (IPU) umeanza kwenye ukumbi wa AICC Arusha, hadi juzi TBC walikuwa wanatangaza kuwa utafunguliwa na Samia, mbona TBC wamekuwa waongo?
Kwani yupo?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…