Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
uelewa na ufahamu mdogo wa masuala ya kisheria na ustaarabu wa kimataifa ni ulifa gentleman 🐒Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
Mnapoteza muda bure kushauri wapumbavu 🙄🙄Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
nani aliekuja kuuza unga Tanzania hivi unajitambua kweli ?Nenda kauze unga China ndio jamaa zako watafahamu kuwa Tanzania tuna uhuru nkubwa kuliko nchi zingine DUNIANI.
Unachangia mada gani?Nenda kauze unga China ndio jamaa zako watafahamu kuwa Tanzania tuna uhuru nkubwa kuliko nchi zingine DUNIANI.
kip3nzi cha machawaMpuuzi huyo bibi ..lafa sana anakera alaf hakubaliki mtaani hata na watt wadogo
Aisee nimecheka mno kwa hii comment daahh 😁😁😆😆😆🤣😆😆😁😆😆🤣😆😆😆😵💫Unachangia mada gani?
Hivi ana jua kama Mitaani hakubaliki? Nahisi ata CCM hakubali na CCM walivyokua wanafiki kimaongezi wanaonyesha wapo na wewe lakni Moyoni hawa kutaki ila wanataka pesa tu.Mpuuzi huyo bibi ..lafa sana anakera alaf hakubaliki mtaani hata na watt wadogo
Kutokujua tu Mazingira ya Wananchi wa East Afrika wanaishi vipi, yeye hajui Kama Wananchi wa East Africa tumechanga Damu na tunatembeleana kila dakika sehemu za mipakani, utakuta uko mipakani kuna wananchi watoto wao wanaenda kupata huduma za kijamii Kenya kuanzia Shule mpaka Mahitaji ya Nyumbani. Utakuta mtoto kuanzia shule ya Msingi mpaka Secondary anaenda kusoma Asubuhi na mchana anarudi Nyumbani kwao Tanzania. Ina nawao wafukuzwe kwasababu wanaingilia Elimu ya KenyaMpuuzi huyo bibi ..lafa sana anakera alaf hakubaliki mtaani hata na watt wadogo
hujakatazwa kwenda hko unakoona kuna utawala na kisheria na haki zisizo na mipakaSamia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
Nje ya hoja mumeishiwa hoja.Nenda kauze unga China ndio jamaa zako watafahamu kuwa Tanzania tuna uhuru nkubwa kuliko nchi zingine DUNIANI.
Fungueni mitandao muone spana anazopigwa Mama na Serikali yake.hujakatazwa kwenda hko unakoona kuna utawala na kisheria na haki zisizo na mipaka
Hakuna nchi inaongozwa na mitandao kwa ground mambo n tofaut ndio maana mnaishia kuandamana X tuFungueni mitandao muone spana anazopigwa Mama na Serikali yake.
Wewe endelea kusikiliza propaganda za Makala ukija kushtuka Nchi imeuzwa.Haku
Hakuna nchi inaongozwa na mitandao kwa ground mambo n tofaut ndio maana mnaishia kuandamana X tu