Samia hataki kabisa kusikia habari za urais 2025

Mafi yako
 
Atake asitake, tunamuongezea mitano tena.
 
Mwambie asistaafu sasa mpaka amalize Kulijenga lile Hekalu lake Kubwa analoenda Kulitembea mara kwa mara ( hasa Weekends ) baada ya Kuwanunua Watu pale Mbweni sawa?
 
Ni mama Samia mpaka 2030 ndio kituo Cha kupumzikia, Nafahamu kukubalika kwa mh Rais na watanzania kumewachanganya akili zenu ,hamuelewi hata mfanyeje maana mmeshaona na kutambua namna mh Rais anavyokubalika, mmeshaona namna upepo wake ulivyopenya katika mioyo ya watanzania, mmeshajuwa kuwa Hakuna mwenye ubavu Wala uwezo wa kusimama na Rais Samia jukwaaani,mmeshaelewa kuwa Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumtikisa Rais Samia na mmetambua kuwa ushawishi wa Rais Samia suluhu Hassani Ni wakiwango Cha juu Sana na kwamba mioyo ya watanzania inasubiri tu muda ufike ili wampigie kura za Ndio kwa kishindooo
 
Unaumwa we mwigulu nchemba
 
Itoshe kusema wewe Ni mpumbavu..

Mlisema 2023 Ni Mwisho nasubiria kwa hamu.
 
Hatimaye mmekuwa cannibals.

Mtamalizana wenyewe.
 

Akiona huu uchumi wako hakawii kubadili katiba afie madarakani.
 
Saga sumu!!!!
 
Kuna unabii unanijia ntausema muda na majira yake ikifika
Huo utakuwa Si unabii, Unabii ni kutamka kuwa utatokea ukame na njaa Kali ktk Nchi muda ambao Kuna chakula tele na mvua ikinyesha na baadae ikatokea sawasawa na majira alosema Nabii.
 
Sukuma Gang mumeshaanza kuota ndoto. Mama yupo sana hamtakai rudini kwenu Burundi
 
Bashiru ally amewambia muache ujinga wa kusifia Kila kitu, kwani yule Si ni CCM mwenzenu?

Au CCM Si moja tena?

Kifo Cha CCM ni INEVITABLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…