Samia hataki kabisa kusikia habari za urais 2025

Okay Bashiru!
 
Msikilizeni Kakurwa hapa kuna kitu huko ndani kwao

View attachment 2420578
Ningeshangaa kama Bado wangeendelea kukaa kimya ikiwa HOJA ya Bunge kupitisha idhini Kwa Serikali ikope Trilioni 10 bt Serikali ikaenda kukopa Trilioni 15.

Na pesa hizo hazijulikani zilipo, na Kwa miezi 18 tayar zimekopwa Trilioni 20.

Bado watatoka zaidi kusema maana haivumiliki nw.
 
Pia nimekuja gundua ULIMI una nguvu kuliko mlio wa risasi.

Binti ndogo akiita "Mwizi" inatosha kumfanya mtu mwenye miraba minne Mwizi Kutoka nduki.


Tusiache kutenda MEMA na HAKI na kutetea maskini na wanaoonewa maana tutalipwa Kwa wakati wake TUSIPOZIMIA ROHO!!!
 
Bashiru ally anashauri TUWAZOMEE na kuwakaripia wakitoka nje ya mstari Badala ya kuwapigia makofi Eti wanaupiga mwingi''.
 
Una msagia sumu mama Samia wewe.
Asipogombea tutamlazimisha, atake asitake!
 
Huu ni uongo wa mchana kweupeee pee

Angalia safu ya wagombea chaguzi za ndani ni wazi team imepangwa ikapangika.

Hiki ambacho mnamfanyia ni kumuwekea maneno mdomoni


Lakini furaha yetu ni kuona CCM inaachia nchi kwa wananchi kupitia sanduku la kura
 
Bila KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA hakuna SANDUKU la Kura.

Sanduku la kula limeibwa na CCM hivi karibu I wameonekana kutumia baadhi ya vifaa kwenye chaguzi zao zikiwa na NEMBO ya Tume.
 
Bila KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA hakuna SANDUKU la Kura.

Sanduku la kula limeibwa na CCM hivi karibu I wameonekana kutumia baadhi ya vifaa kwenye chaguzi zao zikiwa na NEMBO ya Tume.
Kataa CCM kuliokoa Taifa
 
Bashiru Ally ndiyo umekuja kivingine hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…