Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande
Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.
Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.
Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.