Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Endelea kusubiri mguu uanguke kama fisi.Hata jiwe alijiamini hivyo hivyo. Kiko wapi? Na yuko wapi?
Endelea kusubiri mguu uanguke kama fisi.Hata jiwe alijiamini hivyo hivyo. Kiko wapi? Na yuko wapi?
Msije kulialia akilambishwa bungo!Endelea kusubiri mguu uanguke kama fisi.
Nadhani mpaka litangazwe katika gazeti la Serikali.Hapa kuna "room" inatengenezwa kwa CHADEMA, huenda kikao cha dhalura cha bunge kikaitishwa ili kufanyia kazi mapendekezo ya kufanya CHADEMA washiriki uchaguzi mkuu.