Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Nampongeza san Rais wetu ana akili kwa kuwapuuza hao wapumbavu. Rais ktk urais wake hana ushirika na hayo mapumbavu yanayojiita "wafuasi wa Roma"
 
RAIS Samia ametumia busara, anaangalia 'big picture' kwa manufaa mapana ya Watanzania wote wapenda Nchi na amani kwa ujumla wake, si kwa wapenda mlengo wa chama chao.
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
Eee bana ee kama huridhiki na Tanzania hamia Kenya tu kwenye maandamnao kutwa na migogoro.

Hatuwezi kuharibu nchi yetu kwa kuwafurahisha CHADEMA tu!! Kwani wao ni nani? Mbona kuna vyama vingine kama 17 viko tayari kushiriki uchaguzi?

Yaani tuemdeshwe na akili ya Tundu??? Never and Never again. Amani yetu ina thamani kuliko hicho mnachoita "Demokrasia na Katiba nzuri ya Kenya"
Wanaoharibu nchi ni CCM sio Chadema.
 
Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unasema mwanamke ataongoza awamu moja tu na upinzani kuchukua Nchi
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
ibirisi wa ccm kwa njia haramu za kishetani wanataka kubaka kunajisi uchaguzi feki wakizani wapo Gizani hakuna anayewaona
 
Amefanya kama business as usual bila kuzingatia mahitaji ama takwq la wakati. Kwa ubinafsi amejiangalia yeye ili kulinda mamlaka na cheo chake cha urais.

Kuzidi kushupaza shingo, ndivyo ambavyo itakua uhakika wa anguko lake. Nguvu za CDM na TEC si vitu vya kuvi undermine hata kidogo, huku ukiwa umewachokoza Walokole kwa kulifungia kanisa.
Hana shida na TEC, hapatani na Padre Kitima ambaye ni kiongozi wa kampeni za Lissu mwaka 2020, na kisiasa hilo ni suala la kawaida katika demokrasia iliyowiva.
 
Ulitaka awataje mje kujisifia humu na manoo noo yenu eti angalia katii..
Iko hv uchaguzi upo pale pale, dawa ya msenge ni kumpuuza..
Mlivyokuwa mnakuzwa na mitandao mlijiona alwatan eti?
NYIE NI VIBOGOYO TU HAMNA IMPACT!

Eti angalia bunge halijavunjwa..kwan ni mara ya kwanza kufanya hvo?
IPO SIKU MTU ATAENDA KUNYIA CHOONI MTASEMA KUNYA NI MANOO NOO YENU HAYO!
 
Back
Top Bottom