Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Amefanya kama business as usual bila kuzingatia mahitaji ama takwq la wakati. Kwa ubinafsi amejiangalia yeye ili kulinda mamlaka na cheo chake cha urais.

Kuzidi kushupaza shingo, ndivyo ambavyo itakua uhakika wa anguko lake. Nguvu za CDM na TEC si vitu vya kuvi undermine hata kidogo, huku ukiwa umewachokoza Walokole kwa kulifungia kanisa.
 
Kwani KKKT, wahindu, baniani wametambuliwa? Wassira alikuepo kwani ametajwa. Tumia akili Acha unyumbu na kuliingiza Kanisa Takatifu la Mitume kwenye ujinga wako.
Wewe lofa umetokea wapi ? Wasira ametajwa au masikio yako yamekufa
 
Hivi hata Timu zetu zilitajwa kwenye hotuba yake kweli?
 
Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Huyu mama alaaniwe maisha yake yote. Mtakao fanikiwa kwenda kupiga kura safari njema...aharibu Tanganyika anaenda kuishi Zanzibar. Magufuli aendelee kuchomeka huko alipo kwa moto wa gesi.
 
Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Kama unaamini Rais ndio anaalika watu Bungeni basi ujue babu zako kwa baba na mama, bibi zako kwa baba na mama, babaako na mamaako ni WAJINGA NA WAPUMBAVU ndio maana wakazaa mtoto MJINGA SANA NA MPUMBAVU SANA kama wewe
 
Aiseee!!

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI
#Oktoba tunatiki
20250608_184203.jpg
 
Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
Bunge Halijavunjwa
 
Eee bana ee kama huridhiki na Tanzania hamia Kenya tu kwenye maandamnao kutwa na migogoro.

Hatuwezi kuharibu nchi yetu kwa kuwafurahisha CHADEMA tu!! Kwani wao ni nani? Mbona kuna vyama vingine kama 17 viko tayari kushiriki uchaguzi?

Yaani tuemdeshwe na akili ya Tundu??? Never and Never again. Amani yetu ina thamani kuliko hicho mnachoita "Demokrasia na Katiba nzuri ya Kenya"
Anza kuhamia ww na bibi yako
 
Mwisho wake utakuwa mbaya sana! Ila atakimbilia Oman au Dubai!
 
Kuyapuuza makundi haya mawili (CHADEMA na wakatoliki) pamoja na waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba, ni wazi kuwa taifa linaenda kigawanyika mapande mapande

Mapande haya yakianza kuhasimiana na uhasama ukakomaa, tutaingia kwenye shimo ambalo hatutaweza kuondoka humo tena.

Kufuatia hotuba ya leo, Samia ametangaza rasmi mgogoro na Kanisa katoliki (na ndiyo maana hajawaalika hata bungeni). Pia amewaambia chadema fanyeni zaidi ya maandamano na ndiyo maana anavunja bunge bila ya kufanya mabadiliko wanayodai.

Shime sote wapenda haki, tupambane na ubabe wa rais huyu rais.
IMG-20250627-WA0056.jpg
 
Wewe umeelewaje kuhusu kuongeza muda wa bunge???
 
We bwege kaharishe huo uvundo
 
Back
Top Bottom